Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Too late, kwa mizizi waliyo nayo baina yao na marekani its too late kwa sasa
Hakuna mzizi usio katika mzee tena hasa zama kama hizi hata France hakudhania kama kuna siku makoloni yake kule west afrique yangemchenjia au hata west hawakuamini kama utawala wa shah pale Iran ungepigwa kumbo dhidi yao mambo hubadilika acha kukariri
 
Kiduku kaamua kuchomoa betri na yeye 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Duh! Ingetokea kwa Kim bunge zima wangekuwa wanafukiwa kwenye makaburi ya jumla wao na familia zao na majirani na ndugu, jamaa na marafiki wote. Kim hana utani kwenye kulinda utawala wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…