Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi


North Korea hata NATO na Marekani wenyewe hawawezi kuichezea sharubu.
 
Imetajwa South Korea unamtaja Putin.
Hujui hata Putin ni Rais wa wapi
 
HAAA BAN IMEKWISHA JINIASI NIMERUDI HEWANI💥💥💥💥😁😁
 
Mbona Marekani, Uingereza na wengine hatusikii wakilaani Serikali ya S.Korea kukandamiza Demokrasia kwa Serikali kuweka Majeshi barabarani kuzuia MAANDAMANO
Lissu aliniaminisha kuwa maandamano hayawezi kuzuiliwa katika nchi ya Kidemokrasia. Sijui ukweli ni upi? Ngoja Lissu aje hapa atufafanulie.
 
Hakuna aliedhani Manchester unitede atakuwa tango, mtu anajua jana lkn hajui kesho yake itakuwa . Hata TMA wanadunganya baadhi ya siku
 
Duh! Ingetokea kwa Kim bunge zima wangekuwa wanafukiwa kwenye makaburi ya jumla wao na familia zao na majirani na ndugu, jamaa na marafiki wote. Kim hana utani kwenye kulinda utawala wake.
Ingekuwa Cuba kura zingepinduliwa 0 Hapana 190 ndiooooo na wakati wa kupiga kura kila mbunge angeanza kumshukuru Rais🐼
 
Rais ndio analalamika kuwa Kuna watu Serikalini wametumwa na Kim kuipindua serikali. Hivi sasa jeshi limevamia jengo la bunge
Wabunge wa chama tawala na chama cha upinzani wameungana kukataa utawala wa kijeshi wanasema sio sehemu ya katiba

Hawa wana hang over ya kutawaliwa kijeshi zamani wanaelewa

Kingine, Yoon Suk Yeol ni very unpopular

Ikumbukwe he won elections kwa gap dogo mno
 
Si kweli

Impeachment sio mara ya kwanza kutokea SK

Hata mwaka 2017 ilitokea na ukafanyika uchaguzi mgombea wa chama cha upinzani akashinda

Hivyo vyama viwili vina ushindani sana kuna wakati bungeni chama cha upinzani kikiwa na wabunge wengi ni rahisi kufanya impecheament

Kitakachotokea hapo chama cha upinzani kitaenda kupiga kura hiyo martial law iliyowekwa na raisi wa sasa itaondolewa na uchaguzi utaitishwa raisi wa sasa atakuwa impeached

Na bila kupepesa macho upinzani watashinda mchana kweupe

Huyu raisi wa sasa wa SK ni puppet sana wa U.S, kitu ambacho wapinzani hawapendezwi nacho

Wapinzani wanataka foreign policy ya SK iwe na balance kati yao na China na Marekani
 
Mbona Marekani, Uingereza na wengine hatusikii wakilaani Serikali ya S.Korea kukandamiza Demokrasia kwa Serikali kuweka Majeshi barabarani kuzuia MAANDAMANO
Kwamba malengo ya operesheni ya Urusi kuvamia Ukraine ni pamoja na kuangusha serikali ya South korea?

Wabongo akili zenu huwa mnaacha wapi?
 
kavulata huyu mwamba ana uzi wake unaishi mpaka leo
 
Mbona Marekani, Uingereza na wengine hatusikii wakilaani Serikali ya S.Korea kukandamiza Demokrasia kwa Serikali kuweka Majeshi barabarani kuzuia MAANDAMANO
Wanalaani kueka vikwazo na matamko kwa mtu ambae sio kibaraka wao
 
Basi sisi wapenda haki tupo pamoja na raia wa Korea kusini dhidi ya huyo kibaraka ndio maana United shirts of Americants ipo kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…