Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Uyu kiongozi kuna msala unamuusu mke wake akaomba radhi lkn inaonekana wajuba wenzie wamemgomea wanataka ajibebe na majangan yake!! Sasa yeye eti ndio kaja na ishu ya Kim lkn wapi ndio wameungana Wabunge wote kabisa lazima atoke!!
 
Pale Iran, france na UK walimsaidia ayatollah baada ya shah kuwataka walipe mirabaha stahiki kwenye mafuta, ayatollah alipoingia akaaply taqia,kesho yake tu vikwazo mpaka leo
 
Baada yz kuomba radhi alidhani msmbo yameisha akatonywa Wabunge wanaenda kukupigia kula ya kutokuwa na Iman nawewe, kujua ivyo ndio kawai kuvunja Bunge, Akimtuumu Kim kuwazuga wenzie lkn ndio kayakologa kabisa!!!!
 
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 Yale ma free satellite dish 📡 yalikuwa na chaneli Moja ya South Korea ya kuitwa Arirang ilikuwa HD sana. Korea Hoiyee
 
Baada yz kuomba radhi alidhani msmbo yameisha akatonywa Wabunge wanaenda kukupigia kula ya kutokuwa na Iman nawewe, kujua ivyo ndio kawai kuvunja Bunge, Akimtuumu Kim kuwazuga wenzie lkn ndio kayakologa kabisa!!!!
Dah, mwamba, kuandika kiswahili tabu!!..nyie ndiyo kizazi cha elfu 2!?
 
Wapambanie kuziunganisha nchi zao izaliwe Korea 1. Huu ujinga wa kufarakanishwa wakati wanafanana mapaka kucha wasiulee tena.
 
Mara ya mwisho South Korea Ku adopt martial law ilikua 1980 na ilitokea Mauaji makubwa ya waandamanaji. Siyo kitu cha kawaida kama unavyotaka kuwaaminisha wasomaji hapa
 
Ukomunisti utawasaidia nini hapo South Korea.
 
Kabisa, jamaa hadi wabunge wa chama chake wamekataa kumuunga mkono.....huyu ataongoza kwa tabu mno labda ajiuzulu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…