Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
chadema wajaribu hata kufikiriaFicheni hii post isifike kizmkaz
😂😂😂😂 Kabisaa aseeDuuh dunia sasa hivi imechangamka kila sehemu
Pale Iran, france na UK walimsaidia ayatollah baada ya shah kuwataka walipe mirabaha stahiki kwenye mafuta, ayatollah alipoingia akaaply taqia,kesho yake tu vikwazo mpaka leoHakuna mzizi usio katika mzee tena hasa zama kama hizi hata France hakudhania kama kuna siku makoloni yake kule west afrique yangemchenjia au hata west hawakuamini kama utawala wa shah pale Iran ungepigwa kumbo dhidi yao mambo hubadilika acha kukariri
Kwenye hili, putin hakosekaniHaiwezekani mzee, kama kumtoa wangeamua miaka hiyo kwa sasa tayari miziz hadi kwa culture imeshazama, licha ya mahusiano ya kijeshi na kiuchumi. Korea imeshakuwa americanized, na amerika ana base zake pale
Si rahis, si rahis
Haja overreacting ila amezidiwa Wananchi hawamtaki kwa sababu ni agent wa marekani. Maofisa wa serikali na wabunge wote wanataka sera za kiduku ziwe applied hapo Seoul. Kakaza shingo anasema lazima democrasia itawale atakufa na tai shingoni.kama mjerumani.Sio kama atakuwa ameoverreacti.
Wanafiki hao huwezi kusikia hiyo.Mbona Marekani, Uingereza na wengine hatusikii wakilaani Serikali ya S.Korea kukandamiza Demokrasia kwa Serikali kuweka Majeshi barabarani kuzuia MAANDAMANO
Dah, mwamba, kuandika kiswahili tabu!!..nyie ndiyo kizazi cha elfu 2!?Baada yz kuomba radhi alidhani msmbo yameisha akatonywa Wabunge wanaenda kukupigia kula ya kutokuwa na Iman nawewe, kujua ivyo ndio kawai kuvunja Bunge, Akimtuumu Kim kuwazuga wenzie lkn ndio kayakologa kabisa!!!!
Nani. Kakwambia marekani baba wa demokrasia. Trump serikali ya Biden imejaribu mara mbili kumuuwa imeshindikana. Demokrasia ipo wapi hapo?Marekani baba wa demokrasia aingilie si Kati Sasa?
Wapambanie kuziunganisha nchi zao izaliwe Korea 1. Huu ujinga wa kufarakanishwa wakati wanafanana mapaka kucha wasiulee tena.Haja overreacting ila amezidiwa Wananchi hawamtaki kwa sababu ni agent wa marekani. Maofisa wa serikali na wabunge wote wanataka sera za kiduku ziwe applied hapo Seoul. Kakaza shingo anasema lazima democrasia itawale atakufa na tai shingoni.kama mjerumani.
Mara ya mwisho South Korea Ku adopt martial law ilikua 1980 na ilitokea Mauaji makubwa ya waandamanaji. Siyo kitu cha kawaida kama unavyotaka kuwaaminisha wasomaji hapaSi kweli
Impeachment sio mara ya kwanza kutokea SK
Hata mwaka 2017 ilitokea na ukafanyika uchaguzi mgombea wa chama cha upinzani akashinda
Hivyo vyama viwili vina ushindani sana kuna wakati bungeni chama cha upinzani kikiwa na wabunge wengi ni rahisi kufanya impecheament
Kitakachotokea hapo chama cha upinzani kitaenda kupiga kura hiyo martial law iliyowekwa na raisi wa sasa itaondolewa na uchaguzi utaitishwa raisi wa sasa atakuwa impeached
Na bila kupepesa macho upinzani watashinda mchana kweupe
Huyu raisi wa sasa wa SK ni puppet sana wa U.S, kitu ambacho wapinzani hawapendezwi nacho
Wapinzani wanataka foreign policy ya SK iwe na balance kati yao na China na Marekani
Marekani hatakiWapambanie kuziunganisha nchi zao izaliwe Korea 1. Huu ujinga wa kufarakanishwa wakati wanafanana mapaka kucha wasiulee tena.
Hao majamaa wajinga sanaaaPale Iran, france na UK walimsaidia ayatollah baada ya shah kuwataka walipe mirabaha stahiki kwenye mafuta, ayatollah alipoingia akaaply taqia,kesho yake tu vikwazo mpaka leo
Ukomunisti utawasaidia nini hapo South Korea.Haja overreacting ila amezidiwa Wananchi hawamtaki kwa sababu ni agent wa marekani. Maofisa wa serikali na wabunge wote wanataka sera za kiduku ziwe applied hapo Seoul. Kakaza shingo anasema lazima democrasia itawale atakufa na tai shingoni.kama mjerumani.
Kabisa, jamaa hadi wabunge wa chama chake wamekataa kumuunga mkono.....huyu ataongoza kwa tabu mno labda ajiuzulu tu.Wabunge wa chama tawala na chama cha upinzani wameungana kukataa utawala wa kijeshi wanasema sio sehemu ya katiba
Hawa wana hang over ya kutawaliwa kijeshi zamani wanaelewa
Kingine, Yoon Suk Yeol ni very unpopular
Ikumbukwe he won elections kwa gap dogo mno