Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Hakuna mzizi hapo wanamtoa tu haraka sana .Bunge limepiga amri ya Rais kwa 100% muda mfupi uliopita View attachment 3168240
Haiwezekani mzee, kama kumtoa wangeamua miaka hiyo kwa sasa tayari miziz hadi kwa culture imeshazama, licha ya mahusiano ya kijeshi na kiuchumi. Korea imeshakuwa americanized, na amerika ana base zake pale

Si rahis, si rahis
 
Wanajeshi wanajaribu kutumia nguvu kuingia bungeni kuzuia wabunge wasipige kura kupinga amri ya Rais. Wabunge tayari washafanya Yao.
Screenshot_20241203-193014_1.jpg
 
Haiwezekani mzee, kama kumtoa wangeamua miaka hiyo kwa sasa tayari miziz hadi kwa culture imeshazama, licha ya mahusiano ya kijeshi na kiuchumi. Korea imeshakuwa americanized, na amerika ana base zake pale

Si rahis, si rahis
Amerika walishakua na base Afghanistan na Iraq mpaka hip-hop ilikua inapigwa Leo kikowapi
 
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa.

Inasemekana wabunge wa upinzani ambao ndio wengi wanaipinga serikali na Rais ametangaza kuwa North Korea amepenyeza mamluki Serikalini ambao wanataka kuipindua serikali yake na kuweka utawala wenye itikadi za Kim jong UN Rais wa Korea kaskazini.

Hivi sasa mitaani ni Jeshi linashika doria na kusimamia shughuli zote za serikali.
=======
==

South Korea’s president has declared emergency martial law, accusing the opposition of antistate activities.

While making the announcement on Tuesday, President Yoon Suk-yeol said he will rebuild a free and democratic country through martial law.

“To safeguard a liberal South Korea from the threats posed by North Korea’s communist forces and to eliminate antistate elements … I hereby declare emergency martial law,” Yoon said in a live televised address.

“This is an unavoidable measure to ensure the freedom and safety of the people and guarantee the sustainability of the nation against the unrest stirred by these subversive, antistate elements.

“The National Assembly has also completely cut budgets essential for national operations, drug crime prevention and public safety, undermining the core functions of the state. This has left our citizens in a state of chaos with the nation becoming a haven for drugs and public safety collapsing.”

According to local news outlet Yonhap, entrance to the National Assembly was sealed and parliamentarians have been barred from entering the building.

General Park An-soo, the martial law commander, announced a number of measures under the declaration, including prohibitions on all political activities, “including those of the National Assembly, local councils, political parties, and political associations, as well as assemblies [and] demonstrations”.

The order prohibited labour strikes and slowdowns, as well as “gatherings that incite social disorder”. It further stated that all media will be placed under the control of the Martial Law Command.

“Any acts that deny or attempt to overthrow the liberal democratic system, as well as the dissemination of fake news, manipulation of public opinion, or false propaganda,” the order said.

Chanzo: aljazeera.com
View attachment 3168213
Yaani hiyo nchi inayolindwa na Marekani inamuogopa Kiduku kiasi hicho au jamaa amewafanya kisingizio cha kutangaza hali ya hatari?
T14 Armata
 
Wanajeshi wameamua kukubaliana na Hali halisi wameanza kuondoka katika viwanja vya Bunge huku wengine wakisema wanaona aibu kwa kitendo walichokifanya cha kuvamia wabunge waliochaguliwa na wananchi. Inasemekana Rais wa Korea kwa sasa anafanyiwa utaratibu wa haraka kihifadhiwa katika Kambi ya jeshi la Marekani nchini Japan kwa usalama wake.

Kim Rais wa Korea kaskazini ameonekana jioni hii akikagua baadhi ya makombora yake ya masafa marefu katika Kambi ya jeshi mjini pyong yang.
 
Rais anamsingizia Kim Bure .Wananchi wamechoka kuburuzwa na Washington. Wabunge wamepinga sheria hiyo kwa kura zote 190 VS 0 spika wa Bunge ametangaza muda mfupi uliopita View attachment 3168239
Inafikirisha sana kuhusu Mamlaka ya Bunge la huko. Huku bongo Rais ndiye Amiri jeshi mkuu. Akitamka tu', ina kuwa ni Amri halali. Sijui huko S. Korea ikoje?
 
Mbona wanahangaika? Waje huku bongo wajifunze ile mbinu ya kuteka watu mchana kweupe ili kuwashughulikia wapinzani wanaoisumbua Serikali iliyo madarakani.
Athubutuuu huko wakileta mbinu za kwetu askari wote watauwawa mchana kweupe.kule wenzetu kumiliki silaha ni kama kuwa na simu ukimzingua raia anakushona tu Wala hajali
 
Wanajeshi wameamua kukubaliana na Hali halisi wameanza kuondoka katika viwanja vya Bunge huku wengine wakisema wanaona aibu kwa kitendo walichokifanya cha kuvamia wabunge waliochaguliwa na wananchi. Inasemekana Rais wa Korea kwa sasa anafanyiwa utaratibu wa haraka kihifadhiwa katika Kambi ya jeshi la Marekani nchini Japan kwa usalama wake.

Kim Rais wa Korea kaskazini ameonekana jioni hii akikagua baadhi ya makombora yake ya masafa marefu katika Kambi ya jeshi mjini pyong yang.
Mmmh. The benefit of doubt. Kiduku anaweza kujiongeza na akaiunganisha NK na SK na kumaliza biashara.
 
Amehisi au amepata taarifa za, kiintelijensia kuwa ndani ya serikali, kwa maana yq watumishi wa umma,mawaziri,kuna ambao ni ma agent wa North Korea, wanafanya ujasusi wa ku destabilize nchi kwa niaba ya North Korea! Kama ilivyo bongo, wajomba zangu kutoka kwa anko PK tumejaa kila Kona, ukituona, unatuita hawa si wana, au wa haya, au wanyambo, sie ni wale wale tu, kuanzia Rwanda, Burundi, Uganda, Tunaongea lugha moja, ni sawa na Mmarekani na Mkanada,
Nyie hamna madhara kwa serikali ya kibongo,,, na siku mtakayojalibu kuleta fyoko basi nyie na huyo mjomba wenu mtajua kilichomtoa kanga manyoa,, alafu huyo mjomba yenu mnavyo mfagilia utasema labda yeye putin, kumbe wabongo tukichafukwa tuna uwezo kumtia mkononi pale kigali tena kwa kutuma chafu kama mbili tu kutoka ngerengere na wala si kikosi, kwa maana kutuma kikosi kizima kwa mtu kama bwana mrefu ni matumizi mabaya ya jeshi.
 
Back
Top Bottom