Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Wanatakiwa wapambane na hali zao wasisikilize propaganda za wamarekani wakalitia taifa lao matatizoni. Wameshapiga hatua wakae wale matunda hizi siasa nyingine hazina faida yoyote
Humjui mmarekani. Tena utasikia, ni habari za ki-inteljensia toka marekani.
Mahesabu ya Marekani ni kuuza Silaha kwa kuiingiza S. korea katika vita na N. Korea.
Na vile vile kumharibia Trump aliyeahidi kuzima vita vyote ambavyo Marekani inahusika moja kwa moja. Sasa S. Korea ikiingia vitani wewe Marekani utajiepusha vipi. Hizo ndio siasa za Ma- Demokrat aka Biden.

Mmarekani ana njaa sana sasa hivi. Hayupo juu sana kiuchumi kama watu wanvyomfikiria.
 
Amehisi au amepata taarifa za, kiintelijensia kuwa ndani ya serikali, kwa maana yq watumishi wa umma,mawaziri,kuna ambao ni ma agent wa North Korea, wanafanya ujasusi wa ku destabilize nchi kwa niaba ya North Korea! Kama ilivyo bongo, wajomba zangu kutoka kwa anko PK tumejaa kila Kona, ukituona, unatuita hawa si wana, au wa haya, au wanyambo, sie ni wale wale tu, kuanzia Rwanda, Burundi, Uganda, Tunaongea lugha moja, ni sawa na Mmarekani na Mkanada,
Halafu baadae atalaumiwa Mrusi. Mjomba wangu Mmarekani hajambo kwa propaganda. Ya Ukraine na Gaza yamemshinda anaanzisha Mengine. Usisahau yale ya Aleppo- Syria.
 
Nyie hamna madhara kwa serikali ya kibongo,,, na siku mtakayojalibu kuleta fyoko basi nyie na huyo mjomba wenu mtajua kilichomtoa kanga manyoa,, alafu huyo mjomba yenu mnavyo mfagilia utasema labda yeye putin, kumbe wabongo tukichafukwa tuna uwezo kumtia mkononi pale kigali tena kwa kutuma chafu kama mbili tu kutoka ngerenge na wala si kikosi, kwa maana kutuma kikosi kizima kwa mtu kama bwana mrefu ni matumizi mabaya ya jeshi.

Mdomo Mali yako unaruhusiwa kuongea.
 
Lakini Wanajeshi wanamtii Rais. By the way, nimeona hapo Wanajeshi wamejiondoa maeneo ya Bunge i.e. Wamekaidi Amri ya Rais. Manake wamesimama upande wa Wananchi. au
Mkuu wa Jeshi la Korea muda mfupi uliopita amesema amri ya Rais itaendelea kutekelezwa mpaka rais atakaposema vinginevyo . Ninavyoona rais hawezi kukaza shingo kupindua amri yake akikaidi Wananchi watamlazimisha kwa nguvu akikataa jeshi litamtoa kwa nguvu.
 
Amehisi au amepata taarifa za, kiintelijensia kuwa ndani ya serikali, kwa maana yq watumishi wa umma,mawaziri,kuna ambao ni ma agent wa North Korea, wanafanya ujasusi wa ku destabilize nchi kwa niaba ya North Korea! Kama ilivyo bongo, wajomba zangu kutoka kwa anko PK tumejaa kila Kona, ukituona, unatuita hawa si wana, au wa haya, au wanyambo, sie ni wale wale tu, kuanzia Rwanda, Burundi, Uganda, Tunaongea lugha moja, ni sawa na Mmarekani na Mkanada,
Aloo, binafsi niliwahi kumbana na hao jamaa zetu, wamechukua mikopo kabisa ya loan board na wameajiriwa hapa.
 
Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa.

Inasemekana wabunge wa upinzani ambao ndio wengi wanaipinga serikali na Rais ametangaza kuwa North Korea amepenyeza mamluki Serikalini ambao wanataka kuipindua serikali yake na kuweka utawala wenye itikadi za Kim jong UN Rais wa Korea kaskazini.

Hivi sasa mitaani ni Jeshi linashika doria na kusimamia shughuli zote za serikali.
=======
==

South Korea’s president has declared emergency martial law, accusing the opposition of antistate activities.

While making the announcement on Tuesday, President Yoon Suk-yeol said he will rebuild a free and democratic country through martial law.

“To safeguard a liberal South Korea from the threats posed by North Korea’s communist forces and to eliminate antistate elements … I hereby declare emergency martial law,” Yoon said in a live televised address.

“This is an unavoidable measure to ensure the freedom and safety of the people and guarantee the sustainability of the nation against the unrest stirred by these subversive, antistate elements.

“The National Assembly has also completely cut budgets essential for national operations, drug crime prevention and public safety, undermining the core functions of the state. This has left our citizens in a state of chaos with the nation becoming a haven for drugs and public safety collapsing.”

According to local news outlet Yonhap, entrance to the National Assembly was sealed and parliamentarians have been barred from entering the building.

General Park An-soo, the martial law commander, announced a number of measures under the declaration, including prohibitions on all political activities, “including those of the National Assembly, local councils, political parties, and political associations, as well as assemblies [and] demonstrations”.

The order prohibited labour strikes and slowdowns, as well as “gatherings that incite social disorder”. It further stated that all media will be placed under the control of the Martial Law Command.

“Any acts that deny or attempt to overthrow the liberal democratic system, as well as the dissemination of fake news, manipulation of public opinion, or false propaganda,” the order said.

Chanzo: aljazeera.com
View attachment 3168213
Hapo tayari ameshapindiliwa sema yuko under control hivyo anazunguza anachoamriwa
 
Back
Top Bottom