Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Mara ya mwisho South Korea Ku adopt martial law ilikua 1980 na ilitokea Mauaji makubwa ya waandamanaji. Siyo kitu cha kawaida kama unavyotaka kuwaaminisha wasomaji hapa
Screenshot_20241203-221820_Chrome.jpg

Nilizungumzia impeachment kasome vizuri

Hiyo emergency martial law ameitangaza ili kukimbia impeachment

Bunge likipiga kura na majority vote wakasema aondoe hiyo martial law hana ujanja lazima aiondoe kwa mujibu wa katiba ya S.K

Kwa hiyo emergency martial law kwa sasa kwake haina nguvu kwa hali ilivyo lazima bunge lishinde kwa majority vote ya kuondoa hilo tangazo lake la kipuuzi

Na hapo ndipo kesi za scandals zake, za mke wake na watu wake wengine wa karibu zitaanza kumuandama
 
View attachment 3168339

Nilizungumzia impeachment kasome vizuri

Hiyo emergency martial law ameitangaza ili kukimbia impeachment

Bunge likipiga kura na majority vote wakasema aondoe hiyo martial law hana ujanja lazima aiondoe kwa mujibu wa katiba ya S.K

Kwa hiyo emergency martial law kwa sasa kwake haina nguvu kwa hali ilivyo lazima bunge lishinde kwa majority vote ya kuondoa hilo tangazo lake la kipuuzi
Uko sahihi na Mimi nipo sahihi vile vile mara ya mwisho South Korea Ku adopt martial law ni 1980 na ilileta madhara makubwa.
 
Wengine tuko so irritated na series kaka. Will appreciate if you elaborate a bit.
Ukiiangalia ile series, kwa jicho la kawaida ni series mzuri kama zilivyo nyingine nzuri.
Ila ukimakinika, utakachokiona ni kwamba kuna hidden forces zinazoundwa na nchi hizi mbili, watu hao wanafuatilia kila ktu katika nchi hizo na wana watu katika mifumo ya nchi hizo. Lengo lao kuu ni kuja kuiunganisha Korea iwe kitu kimoja
 
Kwasababu Marekani ni mchonganishi wa kusini na kaskazini amri hii ni ya kidemokrasia kwa vibaraka wa amerika
Hizo mambo zinazotokea Sk zingekua ndio zimetokea NK Pro west wangeongea sana,wangesema unaona nchi ya kidikteta jeshi wala halina nishani linaingilia mambo ya kisiasa.
Lkn Mungu jinsi alivyo fundi kafanya watu wajifunze.
 
Ukiiangalia ile series, kwa jicho la kawaida ni series mzuri kama zilivyo nyingine nzuri.
Ila ukimakinika, utakachokiona ni kwamba kuna hidden forces zinazoundwa na nchi hizi mbili, watu hao wanafuatilia kila ktu katika nchi hizo na wana watu katika mifumo ya nchi hizo. Lengo lao kuu ni kuja kuiunganisha Korea iwe kitu kimoja
Unification of Korea peninsula. Mtawala utaendelea kuwa ukoo wa Kim (NK) au democratic Korea?
 
Ukiiangalia ile series, kwa jicho la kawaida ni series mzuri kama zilivyo nyingine nzuri.
Ila ukimakinika, utakachokiona ni kwamba kuna hidden forces zinazoundwa na nchi hizi mbili, watu hao wanafuatilia kila ktu katika nchi hizo na wana watu katika mifumo ya nchi hizo. Lengo lao kuu ni kuja kuiunganisha Korea iwe kitu kimoja
Unification of Korea ni ngumu kutokea hasa kwa msimamo mkali wa North, hakuna Mkorea anatamani maisha ya North.

Kule North Kiduku ndio mungu wao.
 
Unification of Korea ni ngumu kutokea hasa kea msimamo mkali wa North, hakuna Mkorea abatamani maisha ya North.

Kule North Kiduku ndio mungu wao.
Yes, katika hesabu za kawida ni ngumu hata kuitabiri hii. Ni rahisi kwa Iran kuungana na Israel kuliko yule jamaa wa North aliyamua kujitenga na dunia
 
Watu Wengi hawana taarifa sahihi kuhusu North Korea kwa sababu hakuna media inaingia North ila kiukweli kabisa wale watu wanaswagwa kama ng'ombe.

Kuna video nilifanikiwa kuziona yani Idd Amin na Hitler ni watakatifu kabisa siyo huyu Kiduku.

Kwanza North Korea ukikamatwa na Biblia au Qur'an adhabu yako ni kifo.
 
Haya yangetokea china,urusi ama NK
vyombo vya habari vingejaa hii headline.
Uzuri inatokea SK
 
Back
Top Bottom