Kwenye Ukoministi hakuna kauliza za UNAJUA MIMI NI NANI kama Nape stailiUkomunisti utawasaidia nini hapo South Korea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Ukoministi hakuna kauliza za UNAJUA MIMI NI NANI kama Nape stailiUkomunisti utawasaidia nini hapo South Korea.
Kwani ubwanyenye utawasaidia Nini?Ukomunisti utawasaidia nini hapo South Korea.
Mara ya mwisho South Korea Ku adopt martial law ilikua 1980 na ilitokea Mauaji makubwa ya waandamanaji. Siyo kitu cha kawaida kama unavyotaka kuwaaminisha wasomaji hapa
Uko sahihi na Mimi nipo sahihi vile vile mara ya mwisho South Korea Ku adopt martial law ni 1980 na ilileta madhara makubwa.View attachment 3168339
Nilizungumzia impeachment kasome vizuri
Hiyo emergency martial law ameitangaza ili kukimbia impeachment
Bunge likipiga kura na majority vote wakasema aondoe hiyo martial law hana ujanja lazima aiondoe kwa mujibu wa katiba ya S.K
Kwa hiyo emergency martial law kwa sasa kwake haina nguvu kwa hali ilivyo lazima bunge lishinde kwa majority vote ya kuondoa hilo tangazo lake la kipuuzi
Ukiiangalia ile series, kwa jicho la kawaida ni series mzuri kama zilivyo nyingine nzuri.Wengine tuko so irritated na series kaka. Will appreciate if you elaborate a bit.
Hizo mambo zinazotokea Sk zingekua ndio zimetokea NK Pro west wangeongea sana,wangesema unaona nchi ya kidikteta jeshi wala halina nishani linaingilia mambo ya kisiasa.Kwasababu Marekani ni mchonganishi wa kusini na kaskazini amri hii ni ya kidemokrasia kwa vibaraka wa amerika
Unification of Korea peninsula. Mtawala utaendelea kuwa ukoo wa Kim (NK) au democratic Korea?Ukiiangalia ile series, kwa jicho la kawaida ni series mzuri kama zilivyo nyingine nzuri.
Ila ukimakinika, utakachokiona ni kwamba kuna hidden forces zinazoundwa na nchi hizi mbili, watu hao wanafuatilia kila ktu katika nchi hizo na wana watu katika mifumo ya nchi hizo. Lengo lao kuu ni kuja kuiunganisha Korea iwe kitu kimoja
Unification of Korea ni ngumu kutokea hasa kwa msimamo mkali wa North, hakuna Mkorea anatamani maisha ya North.Ukiiangalia ile series, kwa jicho la kawaida ni series mzuri kama zilivyo nyingine nzuri.
Ila ukimakinika, utakachokiona ni kwamba kuna hidden forces zinazoundwa na nchi hizi mbili, watu hao wanafuatilia kila ktu katika nchi hizo na wana watu katika mifumo ya nchi hizo. Lengo lao kuu ni kuja kuiunganisha Korea iwe kitu kimoja
Yes, katika hesabu za kawida ni ngumu hata kuitabiri hii. Ni rahisi kwa Iran kuungana na Israel kuliko yule jamaa wa North aliyamua kujitenga na duniaUnification of Korea ni ngumu kutokea hasa kea msimamo mkali wa North, hakuna Mkorea abatamani maisha ya North.
Kule North Kiduku ndio mungu wao.
Watu Wengi hawana taarifa sahihi kuhusu North Korea kwa sababu hakuna media inaingia North ila kiukweli kabisa wale watu wanaswagwa kama ng'ombe.Yes, katika hesabu za kawida ni ngumu hata kuitabiri hii. Ni rahisi kwa Iran kuungana na Israel kuliko yule jamaa wa North aliyamua kujitenga na dunia
Leo South Korea wanauchumi mzuri sana na Demokrasia imesheheni sana.Kwani ubwanyenye utawasaidia Nini?
Unification itatokea iwapo NK watawaondoa wakina Kim, kuvunjavunja sanamu zao na kukubali kuwa republic ya kweli.Unification of Korea peninsula. Mtawala utaendelea kuwa ukoo wa Kim (NK) au democratic Korea?
Ushuzi⚡Kim is willing to send a diplomatic peacekeeping force to South Korea to stabilize the situation.
Kwa akili zako una Amin Kim anaweza kumpiga South KoreaRais wao analeta ukibaraka kwa Marekani wabunge wamepinga hilo na Kim amesema wakicheza atachafua Hali ya hewa