imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mchezo umeisha, ndio uzuri wa Demokrasia.BREAKING: South Korea's president says he will lift martial law
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezo umeisha, ndio uzuri wa Demokrasia.BREAKING: South Korea's president says he will lift martial law
Alikuwa hawezi kutoboaMchezo umeisha ndio uzuri wa Demokrasia.
Ingekuwa ni kule North Korea watu wangeuwawa sana.Alikuwa hawezi kutoboa
Ni kuviziana tu. Yaani umeshindwa kutuondoa, ondoka wewe. Mchezo mzuri huu, ni kama komedi fulani hivi.BREAKING: South Korean opposition leader calls on President Yoon to step down
Hayo ni matokeo ya kukuza Uganda na udini sasa malizeni naoʻAloo, binafsi niliwahi kumbana na hao jamaa zetu, wamechukua mikopo kabisa ya loan board na wameajiriwa hapa.
Nipe sababu za kwanini ashindweKwa akili zako una Amin Kim anaweza kumpiga South Korea
Na wala hatuna mda wa kujifunza ndiyo uzur mmojaHizo mambo zinazotokea Sk zingekua ndio zimetokea NK Pro west wangeongea sana,wangesema unaona nchi ya kidikteta jeshi wala halina nishani linaingilia mambo ya kisiasa.
Lkn Mungu jinsi alivyo fundi kafanya watu wajifunze.
Huyu North Korea si anamsapoti Mrusi, wangemaliza mapema operation ya Ukraine.North Korea hata NATO na Marekani wenyewe hawawezi kuichezea sharubu.
Kwamba hata nisipoongea ndo mtafanya nini nyie wanyarwanda mliojaa bongo..Mdomo Mali yako unaruhusiwa kuongea.
Mkuu kwani isseu ya Kim kutoka madarakani ni nini?Duh! Ingetokea kwa Kim bunge zima wangekuwa wanafukiwa kwenye makaburi ya jumla wao na familia zao na majirani na ndugu, jamaa na marafiki wote. Kim hana utani kwenye kulinda utawala wake.
Si wamuondoe Rais?Spika wa Bunge la Korea amesema hiyo sheria haitambuliki na haikubaliki baada ya wabunge wote 190 VS 0 kupiga kura ya kukataa sheria hiyo.
View attachment 3168234
Hii itaendelea kuenea ktk mataifa mengi. Dunia imeingia ktk awamu nyingi ya Vita, uasi, kupinduana nk.Jeshi linapambana na wananchi
Hujui chochote!! Marekani huwa anamuunga mkono Korea ya kusini.Kwasababu Marekani ni mchonganishi wa kusini na kaskazini amri hii ni ya kidemokrasia kwa vibaraka wa amerika
Kwamba haujui kitendo cha NATO kujiingiza kwenye SMO kume-distabilize dunia kisiasa na kiuchumi?Kwamba malengo ya operesheni ya Urusi kuvamia Ukraine ni pamoja na kuangusha serikali ya South korea?
Wabongo akili zenu huwa mnaacha wapi?
Huyu North Korea si anamsapoti Mrusi, wangemaliza mapema operation ya Ukraine.
Unaweza thibitisha hili kwa ushahidi usiotia shaka?Vita si ngoma uingie ucheze tu mzee, ni swala sensitive sana. Nimesema NATO na Marekani wanaogopa kuchezea sharubu North Korea kwasababu wanajua wana silaha za maangamizi na wako tayari kuzitumia kuliko kushindwa vita.
To be specific sio kwenye hili suala la korea. Niambie huo mgogoro umechangia vipi?Kwamba haujui kitendo cha NATO kujiingiza kwenye SMO kume-distabilize dunia kisiasa na kiuchumi?