Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

Ndio maana nyani zili pambana kujaza bunge peke yao uoga wa vitu kama hivi
 
Aloo, binafsi niliwahi kumbana na hao jamaa zetu, wamechukua mikopo kabisa ya loan board na wameajiriwa hapa.
Hayo ni matokeo ya kukuza Uganda na udini sasa malizeni naoʻ
 
Hizo mambo zinazotokea Sk zingekua ndio zimetokea NK Pro west wangeongea sana,wangesema unaona nchi ya kidikteta jeshi wala halina nishani linaingilia mambo ya kisiasa.
Lkn Mungu jinsi alivyo fundi kafanya watu wajifunze.
Na wala hatuna mda wa kujifunza ndiyo uzur mmoja
 
Duh! Ingetokea kwa Kim bunge zima wangekuwa wanafukiwa kwenye makaburi ya jumla wao na familia zao na majirani na ndugu, jamaa na marafiki wote. Kim hana utani kwenye kulinda utawala wake.
Mkuu kwani isseu ya Kim kutoka madarakani ni nini?
 
Huyu North Korea si anamsapoti Mrusi, wangemaliza mapema operation ya Ukraine.

Vita si ngoma uingie ucheze tu mzee, ni swala sensitive sana. Nimesema NATO na Marekani wanaogopa kuchezea sharubu North Korea kwasababu wanajua wana silaha za maangamizi na wako tayari kuzitumia kuliko kushindwa vita.
 
Unaweza thibitisha hili kwa ushahidi usiotia shaka?
 
Back
Top Bottom