Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

Mila zao desturi zao waishi nazo wenyewe wala kwetu si habari nzuri wala haituvutii kama umempenda nenda kaishi huko.
Tatizo ni kuwa waswahili tunaendekeza sana kutaka kujua mambo binafsi ya watu wengine, ambayo hayatuhusu. Watu wanataka kujua jamaa kalala na mwanamke gani au gesti gani; mambo ambayo ni ya wahusikia kulingana na dini au imani zao. Kwa nini tuyalete serikalini?
 
Unavyoshangaa utadhani hayo mambo hayapo huko nchini kwenu!? Au kwa vile huko hawajitangazi?
Mimi hata sishangai kitu nimeamua tu kujivika hali ya waafrika wenzangu ili kuendana na hisia zao.
 
Pamoja marekani anapenda vitu hivyo.Nakwambia hawaleti rais shoga.Wataleta Rais ambaye sio shoga.Nchi ndogo hupokea kila chakijinga wakati wenzao hawataki Rais Shoga(Marekani)
 
Hatutachoka kukuomba kwani kwa nguvu zetu wenyewe hatuwezi!!!!!!! Tumuombe sana Mungu. Pata picha rais anakuwa shoga!!!!

Latvia swears in Edgars Rinkevics as EU's first openly gay president​

Latvia's long-serving foreign minister Edgars Rinkevics has become the first openly gay head of state of a European Union nation.

Mr Rinkevics, who had served as foreign minister since 2011, was sworn in as Latvia's president on Saturday in Riga.

The EU has had openly gay heads of governments before, but never a gay head of state.
Source:BBC/09/2023
Liangalie kwanza:

Mr Rinkevics came out publicly in 2014, posting on Twitter: "I proudly announce I am gay… Good luck all of you.
 
Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja?

Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki.

Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu wa serikali hadi Edgar anachaguliwa.

Tangu mwaka 2014 bwana Rinkevics mwenye umri wa miaka 49 amekuwa mtetezi mkubwa wa mashoga na watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja.

Ndoa za jinsia moja Latvia ni haramu pamoja na kwamba Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo imeruhusu ndoa hizo tangu mwaka jana.

Mwezi Mei mwaka huu bunge la Latvia lilimchagua Rinkevics kuwa rais. Katika hotuba yake ya ufunguzi, bwana Rinkevics ameahidi kujenga Latvia ya kisasa yenye nguvu, na yenye kufuata sheria na haki kwa ajili ya faida ya watu wote.
Kwa hiyo "ushoga" wake amepewa baada ya kuwatetea mashoga?
 
Analiwa au anatafuna
 
Back
Top Bottom