Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

Ushoga unaruhusiwa kisheria Urusi na pia Urusi ni rafiki mkubwa wa Brazil na Africa Kusini.

We ni shoga uliokubuhu haiwezekani nchi ikipinga ushoga uichukie na kuiponda daily..
Urusi anapinga ushoga na hilo lajulikana ila kutwa kujipamba na west na kuwatetea waeneza ushoga wenzio
 
Tatiz ni kuwa waswahili tunaendeka sana kutaka kujua mambo binafs ya watu, anbayo hayatuhusu, Watu wanataka kujua jamaa kalala na mwanke gani au gesti gani; mambo ambayo nio ya wahusikia kulingana na dini au imani zao. Kwa nini tuyalete serikalini?
Shangaa nawee Mr.
 
We ni shoga uliokubuhu haiwezekani nchi ikipinga ushoga uichukie na kuiponda daily..
Urusi anapinga ushoga na hilo lajulikana ila kutwa kujipamba na west na kuwatetea waeneza ushoga wenzio
Ushoga sio kosa kisheria nchini Urusi, kinachozuiwa ni kujitangaza tu katika vyombo vya habari.
 
[emoji2380][emoji2380][emoji2380] 4rever.

Iko silu na Bara la Giza, kuna Shoga atakua rais, ni suala la muda tyuuh.
 
Ushoga sio kosa kisheria nchini Urusi, kinachozuiwa ni kujitangaza tu katika vyombo vya habari.
Tatizo hawana uelewaa wa mambo, achana nao wasikusumbue hata.
 
Back
Top Bottom