Ushoga unaruhusiwa kisheria Urusi na pia Urusi ni rafiki mkubwa wa Brazil na Africa Kusini.
Lakini wanatulazimisha tuzifuateMila zao desturi zao waishi nazo wenyewe wala kwetu si habari nzuri wala haituvutii kama umempenda nenda kaishi huko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa usipoweka, wao wanapungukiwa nn?? Kwan wanakujua??Kuanzia Leo si weki mkeka kwa mechi za lativia
Shangaa nawee Mr.Tatiz ni kuwa waswahili tunaendeka sana kutaka kujua mambo binafs ya watu, anbayo hayatuhusu, Watu wanataka kujua jamaa kalala na mwanke gani au gesti gani; mambo ambayo nio ya wahusikia kulingana na dini au imani zao. Kwa nini tuyalete serikalini?
Ushoga sio kosa kisheria nchini Urusi, kinachozuiwa ni kujitangaza tu katika vyombo vya habari.We ni shoga uliokubuhu haiwezekani nchi ikipinga ushoga uichukie na kuiponda daily..
Urusi anapinga ushoga na hilo lajulikana ila kutwa kujipamba na west na kuwatetea waeneza ushoga wenzio
Tatizo hawana uelewaa wa mambo, achana nao wasikusumbue hata.Ushoga sio kosa kisheria nchini Urusi, kinachozuiwa ni kujitangaza tu katika vyombo vya habari.
Kuna mtu aliwahi sema hapa kua wewe ni bwabwa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa usipoweka, wao wanapungukiwa nn?? Kwan wanakujua??
Tulia na kishondo cha washambiuliposoma nimeandika wakatoliki ukajua mi ni msabato