Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Myahudi mtu mbad sanaIla huo ni ukweli maana moto walioupeleka Israel pale Beirut siyo poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Myahudi mtu mbad sanaIla huo ni ukweli maana moto walioupeleka Israel pale Beirut siyo poa
Haitawahi tokea. Mwamba Iman wetu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali mkombozi wa uislamu na waislam hatakubali. Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek the ability to succeed maamaee tuna uhakika wa jannah na firdaus.Panga yako huna hatima ya watu katka mikono yako myahudi hata kaa atoboe katka ile ardhi sio kwasababu ya palestine, siku sunni Muslim watakapo pata akili ndio end of era. Lakini wameanza kuamka
Israel hajawahi pigana na nchi ya maana yenye airforce .. sasa kipi cha maana cha kujvunia hapo ndugu .. upigane na hamasi kaeneo kama nukta .. ndo uje kujifaragua.. hii vita imeweezpose wayahudi kuwa ni dhaifu mno na amna kipya wanacho weza kufanyaIle show ya Israel siyo ya kitoto, Iran walikuwa overrated tu.
Sasa sikiliza mziki wa Trump Hamas wenyewe wanajuwa hapa tumeyakanyaga.
Hivi wewe unapigana na watu wote wamevaa mavazi ya kiraia ni vita ambavyo jeshi lenye weledi mkubwa kama la Israel ndilo linaweza hakuna jeshi nyingine duniani linaloweza kupigana vita vya hivyo.Israel hajawahi pigana na nchi ya maana yenye airforce .. sasa kipi cha maana cha kujvunia hapo ndugu .. upigane na hamasi kaeneo kama nukta .. ndo uje kujifaragua.. hii vita imeweezpose wayahudi kuwa ni dhaifu mno na amna kipya wanacho weza kufanya
Serikali ya Lebanon huwa Hawana matatizo, problem ni Hizbullar wamekuwa na nguvu nchini kwako.Bora kama wamejitambua
Hata wapalestina/wakitambua hilo wataishi kwa amani sana
Six world war soma hii vita... Myahudi alipiga waarabu wote kwa siku sita..Israel hajawahi pigana na nchi ya maana yenye airforce .. sasa kipi cha maana cha kujvunia hapo ndugu .. upigane na hamasi kaeneo kama nukta .. ndo uje kujifaragua.. hii vita imeweezpose wayahudi kuwa ni dhaifu mno na amna kipya wanacho weza kufanya
Jinga hilo hakuna anachokijuwa, hajui kwa nini Misri haitaki kabisa ugomvi na Israel na wapo border to border.Six world war soma hii vita... Myahudi alipiga waarabu wote kwa siku sita..
Misri alionja mziki wa Israel mara mbili 1967 / 1973 na hakuwa tena na hamu ikabidi atie saini mkataba wa Camp David Accord na kukubali kuitambua rasmi taifa la Israel.Jinga hilo hakuna anachokijuwa, hajui kwa nini Misri haitaki kabisa ugomvi na Israel na wapo border to border.
Uchokozi unaanzishwa na baadhi ya wapumbavu wenye maslahi na chokochoko wanazozianzishaBora kama wamejitambua
Hata wapalestina/wakitambua hilo wataishi kwa amani sana
Kwani ww kibanda cha mama yako kilipoanguka kwa mafuriko ulijengewa na nani hv mbona mnajipofusgawamezinduka baada ya nchi yao kuwa magofu, na hakuna mwenye mpango wa kuwasaidia waijenge tena,, nguvu zote zinaelekezwa gaza. wao watajijua wenyewe.
mama yangu hana kibanda ndugu, ana nyumba bora niliyomjengea mimi mwenyewe. na kwetu hakunaga mafuriko, sijawahi kuona tangu nizaliwe, na hakuna njaa, hakuna dini za ajabuajabu, hakuna laana, kuna baraka tupu.Kwani ww kibanda cha mama yako kilipoanguka kwa mafuriko ulijengewa na nani hv mbona mnajipofusga
Kwahiyo hayo mauaji unayoyatarajia yakitokea ndiyo itakuwa furaha yako.Asubiri inayokuja itakuwa mbaya zaidi ambapo wapalestina wote wanaondoshwa Gaza..
Mauaji yatakayofanyika Gaza hakuna MTU ataweza kuishi tena hapo Gaza, baada ya ceasefire hapo middle east Moto utawaka kwelikweli
Kinachomshinda kuichukua hata kijiji kimoja pale lebanon ni kitu gani au unahadithiwa na kuimbishwa 6 days war 6 days warSix world war soma hii vita... Myahudi alipiga waarabu wote kwa siku sita..
Ndio ujue Waislam ni wanafiki sana... katika suala la maziko ndio maana tokea kudanja kwa yule mwizi wa chupi hawajawahi elewanaHuyu Nasrallah anakufa kwa mara ya ngapi?
Achana na Uislam wewe dini inamisingi yake sio nyie mnaokoteza imani zisizo eleweka mpaka mtu mshipa wa shingo umsimame na bado hutaelewa hio ni dini au formula za wahuni kupiga hela, hakuna dini nje ya Uislam unayoweza kuieleza ikakosa doubtful halafu uko hapa kumock dini iso kuhusu na usoijua, very idiot dumb...nyie ni wajinga na mtaporomoka nao mpaka jehanamu leo hii mimi nina uwezo wa kuanzisha ka taasisi kangu na mkaja kwa maelfu kutubia Zambi zenu kwangu hilo halipingiki sasa utamock vipi dini inayojitambua, rekebisheni kwenu kwanzaNdio ujue Waislam ni wanafiki sana... katika suala la maziko ndio maana tokea kudanja kwa yule mwizi wa chupi hawajawahi elewana
Bwa mdogo, juzi wakati wanamzika kiongozi wao Hizbolllah pale uwanjani si uniona ndege vita tano za Israel zilipita katikati ya uwanja, Lebanon ndo weupe kabisa anga lao lipo wazi wakati wowote Israel inaingia inacheza itakavyo na kutoka, je israel ingeamua kufanya mauaji ya halaiki pale uwanjani si ingefanya na ingeua hizbollah na maiti ya Nastrullah kwa mara ya pili pale uwanjani .. We angalia iran ilivyopigwa miundombinu asiliami 80 ya kutengeneza drone etc imelemazwa , mifumo ya ulinzi wa anga rader imelemazwa, kifupi Iran imelemazwa kiteknolojia upande wa ulinzi balaa ile siku myahidi alipo mchapa kichapo cha kimya kimya ..Kinachomshinda kuichukua hata kijiji kimoja pale lebanon ni kitu gani au unahadithiwa na kuimbishwa 6 days war 6 days war