Rais wa Lebanon amwambia Spika wa Bunge la Iran: Tumelipa gharama kubwa kuwatetea Wapalestina na hivyo tumechoka na vita vya nchi nyingine!

Panga yako huna hatima ya watu katka mikono yako myahudi hata kaa atoboe katka ile ardhi sio kwasababu ya palestine, siku sunni Muslim watakapo pata akili ndio end of era. Lakini wameanza kuamka
Haitawahi tokea. Mwamba Iman wetu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali mkombozi wa uislamu na waislam hatakubali. Kupitia yeye tumepewa Tawfiq/Tawfeek the ability to succeed maamaee tuna uhakika wa jannah na firdaus.

njumu za kosovo Nyonzo bin mvule

Nyau de adriz

Ile show ya Israel siyo ya kitoto, Iran walikuwa overrated tu.

Sasa sikiliza mziki wa Trump Hamas wenyewe wanajuwa hapa tumeyakanyaga.
Israel hajawahi pigana na nchi ya maana yenye airforce .. sasa kipi cha maana cha kujvunia hapo ndugu .. upigane na hamasi kaeneo kama nukta .. ndo uje kujifaragua.. hii vita imeweezpose wayahudi kuwa ni dhaifu mno na amna kipya wanacho weza kufanya
 
Hivi wewe unapigana na watu wote wamevaa mavazi ya kiraia ni vita ambavyo jeshi lenye weledi mkubwa kama la Israel ndilo linaweza hakuna jeshi nyingine duniani linaloweza kupigana vita vya hivyo.

Kwa kweli hapo tunawavulia IDF kofia na ndio maana magaidi kamwe hawawezi kwenda kwenye vita na Israel halafu wajifanye eti kuvaa sare za kijeshi watafyekwa wote kama utitiri wawaulize waarabu na ndio maana leo hii waarabu hawana kabisa hamu ya kupigana vita na Israel. Never.
 
Israel hajawahi pigana na nchi ya maana yenye airforce .. sasa kipi cha maana cha kujvunia hapo ndugu .. upigane na hamasi kaeneo kama nukta .. ndo uje kujifaragua.. hii vita imeweezpose wayahudi kuwa ni dhaifu mno na amna kipya wanacho weza kufanya
Six world war soma hii vita... Myahudi alipiga waarabu wote kwa siku sita..
 
Jinga hilo hakuna anachokijuwa, hajui kwa nini Misri haitaki kabisa ugomvi na Israel na wapo border to border.
Misri alionja mziki wa Israel mara mbili 1967 / 1973 na hakuwa tena na hamu ikabidi atie saini mkataba wa Camp David Accord na kukubali kuitambua rasmi taifa la Israel.

If you think you can enter into the war with the Jewish state, know that you will be fighting a losing battle because Israel is invincible.
 
wamezinduka baada ya nchi yao kuwa magofu, na hakuna mwenye mpango wa kuwasaidia waijenge tena,, nguvu zote zinaelekezwa gaza. wao watajijua wenyewe.
Kwani ww kibanda cha mama yako kilipoanguka kwa mafuriko ulijengewa na nani hv mbona mnajipofusga
 
Kwani ww kibanda cha mama yako kilipoanguka kwa mafuriko ulijengewa na nani hv mbona mnajipofusga
mama yangu hana kibanda ndugu, ana nyumba bora niliyomjengea mimi mwenyewe. na kwetu hakunaga mafuriko, sijawahi kuona tangu nizaliwe, na hakuna njaa, hakuna dini za ajabuajabu, hakuna laana, kuna baraka tupu.
 
Asubiri inayokuja itakuwa mbaya zaidi ambapo wapalestina wote wanaondoshwa Gaza..
Mauaji yatakayofanyika Gaza hakuna MTU ataweza kuishi tena hapo Gaza, baada ya ceasefire hapo middle east Moto utawaka kwelikweli
Kwahiyo hayo mauaji unayoyatarajia yakitokea ndiyo itakuwa furaha yako.
 
Six world war soma hii vita... Myahudi alipiga waarabu wote kwa siku sita..
Kinachomshinda kuichukua hata kijiji kimoja pale lebanon ni kitu gani au unahadithiwa na kuimbishwa 6 days war 6 days war
 
Ndio ujue Waislam ni wanafiki sana... katika suala la maziko ndio maana tokea kudanja kwa yule mwizi wa chupi hawajawahi elewana
Achana na Uislam wewe dini inamisingi yake sio nyie mnaokoteza imani zisizo eleweka mpaka mtu mshipa wa shingo umsimame na bado hutaelewa hio ni dini au formula za wahuni kupiga hela, hakuna dini nje ya Uislam unayoweza kuieleza ikakosa doubtful halafu uko hapa kumock dini iso kuhusu na usoijua, very idiot dumb...nyie ni wajinga na mtaporomoka nao mpaka jehanamu leo hii mimi nina uwezo wa kuanzisha ka taasisi kangu na mkaja kwa maelfu kutubia Zambi zenu kwangu hilo halipingiki sasa utamock vipi dini inayojitambua, rekebisheni kwenu kwanza
 
Kinachomshinda kuichukua hata kijiji kimoja pale lebanon ni kitu gani au unahadithiwa na kuimbishwa 6 days war 6 days war
Bwa mdogo, juzi wakati wanamzika kiongozi wao Hizbolllah pale uwanjani si uniona ndege vita tano za Israel zilipita katikati ya uwanja, Lebanon ndo weupe kabisa anga lao lipo wazi wakati wowote Israel inaingia inacheza itakavyo na kutoka, je israel ingeamua kufanya mauaji ya halaiki pale uwanjani si ingefanya na ingeua hizbollah na maiti ya Nastrullah kwa mara ya pili pale uwanjani .. We angalia iran ilivyopigwa miundombinu asiliami 80 ya kutengeneza drone etc imelemazwa , mifumo ya ulinzi wa anga rader imelemazwa, kifupi Iran imelemazwa kiteknolojia upande wa ulinzi balaa ile siku myahidi alipo mchapa kichapo cha kimya kimya ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…