Rais wa Marekani Donald Trump afuta Mazungumzo ya Amani na Iran!

Rais wa Marekani Donald Trump afuta Mazungumzo ya Amani na Iran!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
‼️ MPYA:

Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran.

"Ikiwa wanataka kuzungumza, wanachotakiwa kufanya ni kupiga simu."

"Tuna kadi zote, hawana hata moja!"

Endelea kuwasiliana, mfuate @MOSSADil.
 

Attachments

  • IMG_5331.jpeg
    IMG_5331.jpeg
    66 KB · Views: 21
Ngoja nijikumbushe viongozi wachache wa Iran walioangamizwa na Majeshi hodari ya Israel toka vita hii uanze!!!!
 

Attachments

  • IMG_5332.png
    IMG_5332.png
    656.9 KB · Views: 25
‼️ MPYA:

Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran.

"Ikiwa wanataka kuzungumza, wanachotakiwa kufanya ni kupiga simu."

"Tuna kadi zote, hawana hata moja!"

Endelea kuwasiliana, mfuate @MOSSADil.
Sawa mke wa Netanyahu tumekusikia
 
Mpaka leo Marekani anahangaika namna ya kuiba mafuta na gesi hapo Irani. Anazunguka sana, lengo lake lilikuwa ni kuwavuruga Irani ili awaibie Mafuta, Gesi na Fedha.
Irani wanamjua mbwa kwa jina, hivyo wanapigana nae kwa kumwita jina.
 

Attachments

  • IMG_3483.jpeg
    IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 26
  • IMG_3479.jpeg
    IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 22
  • IMG_3499.jpeg
    IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 22
  • IMG_3414.jpeg
    IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 21
  • IMG_3466.jpeg
    IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 17
  • IMG_3406.jpeg
    IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 23
  • IMG_3404.jpeg
    IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 25
  • IMG_3405.jpeg
    IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 25
  • IMG_3401.jpeg
    IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 25
  • IMG_3402.jpeg
    IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 26
  • IMG_3403.jpeg
    IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 25
  • IMG_3419.jpeg
    IMG_3419.jpeg
    35.8 KB · Views: 17
Huyu jamaa anachekesha

If the current administration is characterized by such profound institutional ambiguity, why has there been no movement toward establishing an interim presidency or a parallel government, similar to the precedents seen in the Venezuelan constitutional crisis?
In the event of a total collapse of the executive chain of command, what are the legal and geopolitical barriers preventing the appointment of a singular plenipotentiary or a transitional leader to restore administrative stability?
 
Ngoja nijikumbushe viongozi wachache wa Iran walioangamizwa na Majeshi hodari ya Israel toka vita hii uanze!!!!

Wazee watupu bado mnajisifia kuingizwa chaka kwa Mossad!!!

Wazee wakiislam Wamechagua kufia vitani!!!
badala ya kitandani
Lkn nyinyi mnajiona mmeshinda na bado mnataka kuongea na wazee

Dini ya KISLAM ni ngumu kuiyelewa ukiwa sio muislamu✍️
 
Mbinu anayotaka kuitumia inaweza kuifanya Iran iwe na msimamo mkali zaidi au kuongeza kasi ya miradi yao ya nyuklia kama njia ya kujihami.
 
Wazee watupu bado mnajisifia kuingizwa chaka kwa Mossad!!!

Wazee wakiislam Wamechagua kufia vitani!!!
badala ya kitandani
Lkn nyinyi mnajiona mmeshinda na bado mnataka kuongea na wazee

Dini ya KISLAM ni ngumu kuiyelewa ukiwa sio muislamu✍️
Acha wafe tu maana hakuna namna pimbi hao!!
 
Wazee watupu bado mnajisifia kuingizwa chaka kwa Mossad!!!

Wazee wakiislam Wamechagua kufia vitani!!!
badala ya kitandani
Lkn nyinyi mnajiona mmeshinda na bado mnataka kuongea na wazee

Dini ya KISLAM ni ngumu kuiyelewa ukiwa sio muislamu✍️
Jinga lingine hili,muziraili kasema hajui makubaliano yoyote popote pale.
Wao wanaangamiza magaidi wote popote.
 
Hajafuta sema amekata tamaa baada ya Iran kukataa maongezi na hao magaidi wa marekani

Mwanadiplomasia wa Iran alisema haendi Pakistan kuongea na Marekani bali anaenda Pakistan kupata maelezo kwanini Pakistan inanashinikiza mazungumzo ya haraka huku huku marekani ikiendeleza matendo ambayo sio ya kidiplomasia
 
Jinga lingine hili,muziraili kasema hajui makubaliano yoyote popote pale.
Wao wanaangamiza magaidi wote popote.
Vifo upande wenu ni Vijana wkt nyinyi mnaangaika na wastaafu!!
 

Attachments

  • 1776731838776.jpg
    1776731838776.jpg
    12.9 KB · Views: 25
  • 4cbv7fe6ebc3ae2p2la_800C450.jpg
    4cbv7fe6ebc3ae2p2la_800C450.jpg
    64.7 KB · Views: 20
Mwengine uyo
 

Attachments

  • 1776272378026.jpg
    1776272378026.jpg
    63.4 KB · Views: 24
Wengine marehemu wenu wa IDF vujana watupu!!
 

Attachments

  • images-7.jpeg
    images-7.jpeg
    7.6 KB · Views: 18
  • GcngWAnXkAEg5ou.jpg
    GcngWAnXkAEg5ou.jpg
    65.6 KB · Views: 22
  • download-4.jpeg
    download-4.jpeg
    7.4 KB · Views: 26
  • images-5.jpeg
    images-5.jpeg
    7.7 KB · Views: 21
  • IMG_20250108_084658_864.jpg
    IMG_20250108_084658_864.jpg
    204.9 KB · Views: 22
Uyu Mmarekani nayy marehemu
 

Attachments

  • 1775527986747.jpg
    1775527986747.jpg
    417.4 KB · Views: 23
Awa wengine wote Marehemu kumbuka Vijana watupu taifa la leo wameenda kuaangamia kwa ujinga wa Netanyahu ✍️
 

Attachments

  • 20260331_204237.jpg
    20260331_204237.jpg
    125.4 KB · Views: 25
  • 20260331_204325.jpg
    20260331_204325.jpg
    68 KB · Views: 24
  • 20260331_204338.jpg
    20260331_204338.jpg
    34.2 KB · Views: 24
  • 20260331_204345.jpg
    20260331_204345.jpg
    44.4 KB · Views: 26
Tunajikumbuka sio aya Tuendelea kuona ujinga wa kuwapoteza Vijana kwa ujinga w Netanyahu
 

Attachments

  • 20250830_043813.jpg
    20250830_043813.jpg
    72.7 KB · Views: 23
  • images-3.jpeg
    images-3.jpeg
    39.6 KB · Views: 23
  • images-1.jpeg
    images-1.jpeg
    46.5 KB · Views: 22
  • images-5.jpeg
    images-5.jpeg
    7.7 KB · Views: 22
  • 6124887-f028c95e2e0504e9536e21257c08529b.jpg
    6124887-f028c95e2e0504e9536e21257c08529b.jpg
    5.7 KB · Views: 24
  • 3209cbd7196c419483db83bc06ff0552.webp
    3209cbd7196c419483db83bc06ff0552.webp
    25.2 KB · Views: 26
Back
Top Bottom