Rais wa Marekani Donald Trump afuta Mazungumzo ya Amani na Iran!

Rais wa Marekani Donald Trump afuta Mazungumzo ya Amani na Iran!

Tunajikumbuka sio aya Tuendelea kuona ujinga wa kuwapoteza Vijana kwa ujinga w Netanyahu.
 

Attachments

  • HC7erbWW0AADo3y.jpeg
    HC7erbWW0AADo3y.jpeg
    112.4 KB · Views: 11
Uyu Jenerali inadaiwa kauwawa Israel imepija kimyaaa
 

Attachments

  • 1775876620175.jpg
    1775876620175.jpg
    91.9 KB · Views: 8
Mwengine uyu ukimuacha uyo mweusi mwenzetu uyo mwengine Jenerali nayeye kauwawa lkn Israel na IDF wamepiga kimyaaa👇👇
 

Attachments

  • 20260314_192110.jpg
    20260314_192110.jpg
    22.9 KB · Views: 11
Wkt wanakufa woteee uko juu tunatakiwa kufaam wamekufa wengi zaidi zaidi ya hao! ISRAEL wanaficha vifo vyao!!!

Lkn tukumbuke pia wkt wao wanaficha Vifo✍️

jambo la kutia Moyo zaidi ni kujua mpaka sasa Hezbollah ipo palepale na wanakiwasha ✍️

Hamas ipo palepale ikibidi wanakiwasha upya!!

Houthi ya YEMEN wapo palepale

na Iranian ipo Vile vile

iyo ISRAEL tunawajua mikataba wanakiuka,!!

lkn tujiulize kwanini ukiukwaji wao hawafanyi kwa Iranian wameuftaaa pale💥💥💥💥💥💥💥

lkn Gaza Lebanon haaa uko anajifanya mwendawazimu mm sifungwi na Mkataba!!!

tupia basi na Iranian tukuone kweli wewe mwendawazimu😜😜✍️
 
So wanaficha vifo
lkn.
Mziki bado upo palepale mpaka wajue na wakumbuke njia ipi iliwaleta kwa Wanaume wenye ndevu ndefu!!!

na njia ipi ya kutoka mbiooo Watakimbiaa tu hawana njia nyengine, miji ya Haifa Tela aviv nk. ni aibu ndugu zangu. Miji imebomolewa vibaya!
Kazi kipimo cha utu ✍️
 

Attachments

  • 1774978362327.jpg
    1774978362327.jpg
    111.9 KB · Views: 8
Back
Top Bottom