Sawa mke wa Netanyahu tumekusikia‼️ MPYA:
Trump afuta mazungumzo yaliyopangwa ya Islamabad na Iran, akisema muda unapotea safarini na kutaja "machafuko makubwa ya ndani" ndani ya uongozi wa Iran.
"Ikiwa wanataka kuzungumza, wanachotakiwa kufanya ni kupiga simu."
"Tuna kadi zote, hawana hata moja!"
Endelea kuwasiliana, mfuate @MOSSADil.
Tunaiomba Israel iwe na huruma kwa viongozi wa Iran maana wamepukutika Kama nzige!!!!!!!!Sawa mke wa Netanyahu tumekusikia
Ngoja nijikumbushe viongozi wachache wa Iran walioangamizwa na Majeshi hodari ya Israel toka vita hii uanze!!!!
Acha wafe tu maana hakuna namna pimbi hao!!Wazee watupu bado mnajisifia kuingizwa chaka kwa Mossad!!!
Wazee wakiislam Wamechagua kufia vitani!!!
badala ya kitandani
Lkn nyinyi mnajiona mmeshinda na bado mnataka kuongea na wazee
Dini ya KISLAM ni ngumu kuiyelewa ukiwa sio muislamu✍️
Jinga lingine hili,muziraili kasema hajui makubaliano yoyote popote pale.Wazee watupu bado mnajisifia kuingizwa chaka kwa Mossad!!!
Wazee wakiislam Wamechagua kufia vitani!!!
badala ya kitandani
Lkn nyinyi mnajiona mmeshinda na bado mnataka kuongea na wazee
Dini ya KISLAM ni ngumu kuiyelewa ukiwa sio muislamu✍️
Vifo upande wenu ni Vijana wkt nyinyi mnaangaika na wastaafu!!Jinga lingine hili,muziraili kasema hajui makubaliano yoyote popote pale.
Wao wanaangamiza magaidi wote popote.