Wkt wanakufa woteee uko juu tunatakiwa kufaam wamekufa wengi zaidi zaidi ya hao! ISRAEL wanaficha vifo vyao!!!
Lkn tukumbuke pia wkt wao wanaficha Vifo✍️
jambo la kutia Moyo zaidi ni kujua mpaka sasa Hezbollah ipo palepale na wanakiwasha ✍️
Hamas ipo palepale ikibidi wanakiwasha upya!!
Houthi ya YEMEN wapo palepale
na Iranian ipo Vile vile
iyo ISRAEL tunawajua mikataba wanakiuka,!!
lkn tujiulize kwanini ukiukwaji wao hawafanyi kwa Iranian wameuftaaa pale💥💥💥💥💥💥💥
lkn Gaza Lebanon haaa uko anajifanya mwendawazimu mm sifungwi na Mkataba!!!
tupia basi na Iranian tukuone kweli wewe mwendawazimu😜😜✍️