Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
idea inasound sawa,Anakuwa na sticker kubwa imeandikwa Doctor on call na taa ya kijani
Hiyo ni ya kimataifa na inampa nguvu kisheria
idea inasound sawa,Anakuwa na sticker kubwa imeandikwa Doctor on call na taa ya kijani
Hiyo ni ya kimataifa na inampa nguvu kisheria
vip kuhusu mwalimu, hawajazungumzia chochote kwamba nae aitumie service road na akikamatwa na afisa usalama barabarani ajitambulishe tu bila kurusha ngumi kama wengine?🐒Akiwa service road au ana over speed askari akimkamata akajitbulisha na akamueleza the emergency askari akichomoa ufunguo na apigwe balabala
Nimewahi kupewa lift kwenye ambulance, aisee tulikua tunapishwa na kuheshimiwa jamaa aliwasha tu king'ola sisi ni hivi tu kumbuka hata traffic ni marufuku kuipiga mkono ambulance zaidi ya kuiombea njia ipite na iwahi haraka, tumefika mwenge pale gari zikapigwa mkono na traffic sisi tupite tukapita shwaaaikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b,
A jack of all trades and master of nonehajaeleza kwa kifupi namna ya kuitambua IST ya daktari?![]()
ok.🐒A jack of all trades and master of none
Unajitia una ufahamu wa kila jambo wakati SI KWELI.
Kitambulisho cha Dakitari kinatosha kama vile tunavyo onyeshaga leseni ya Udereva !ni kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.
ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?
ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora, kwa hali ya kawaida lkn ndiyo hivyo tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …
Mfano hayupo katika mazingira ya kuweka sticker, labda tuseme sticker ipo nyumbani na amepata simu ya dharura ya kazini akiwa mbali na nyumbani, je hapo inakuwaje?Anakuwa na sticker kubwa imeandikwa Doctor on call na taa ya kijani
Hiyo ni ya kimataifa na inampa nguvu kisheria
Mwalimu haokoi maisha sana sana atawachapa viboko watukutu huko Skuli !Waongeze na Gari ya mwalimu wa zamu.
Aliyenyang' anywa funguo imekaaje?Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Nafikiri iko hivyo, ni kitambulisho tu.Kitambulisho cha Dakitari kinatosha kama vile tunavyo onyeshaga leseni ya Udereva !
Kwani siku hizi Vitambulisho vya Kazini haviaminiki tena ?Mfano hayupo katika mazingira ya kuweka sticker, labda tuseme sticker ipo nyumbani na amepata simu ya dharura ya kazini akiwa mbali na nyumbani, je hapo inakuwaje?
Gari la dharuraKwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Sticker ni moja ya items za kazi yake kwa hiyo ni lazima kila wakati inakuwa kwenye gari na anapokuwepo hata kama ajali mbaya imetokea na yeye kapita hapo anaiweka na kusaidia majeruhiMfano hayupo katika mazingira ya kuweka sticker, labda tuseme sticker ipo nyumbani na amepata simu ya dharura ya kazini akiwa mbali na nyumbani, je hapo inakuwaje?
Kitambulisho cha Dakitari kinatosha kama vile tunavyo onyeshaga leseni ya Udereva !
Nimewahi kupewa lift kwenye ambulance, aisee tulikua tunapishwa na kuheshimiwa jamaa aliwasha tu king'ola sisi ni hivi tu kumbuka hata traffic ni marufuku kuipiga mkono ambulance zaidi ya kuiombea njia ipite na iwahi haraka, tumefika mwenge pale gari zikapigwa mkono na traffic sisi tupite tukapita shwaaa
Nb: Haikua na mgonjwa yoyote na wala haikua inafuata mgonjwa
Utawapa ving'ora madaktari wangapi wakati kila wakati wako standby, kama alimweleza askari akakimbilia kutoa ufunguo wakati anaenda kuokoa maisha ya mtu unategemea nini?
Zipakwe rangi maalum kuwatambulisha.hajaeleza kwa kifupi namna ya kuitambua IST ya daktari?![]()