Unamwambia tragiki nawaji kazinini kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.
ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?
ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora, kwa hali ya kawaida lkn ndiyo hivyo tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …