Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Madaktari bingwa wapewe vimulimuliYes.. nme ona kwenye nchi za mbali.. hata Askari akiwa na gari binafsi na dharura anakuwa na kimulimuli cha kupachika
Madaktari bingwa wapewe vimulimuliYes.. nme ona kwenye nchi za mbali.. hata Askari akiwa na gari binafsi na dharura anakuwa na kimulimuli cha kupachika
Talimba alisemaje6. Walimu wa Hesabu.
Siku hizi ni online transactions6. Gari la Muhasibu akiwa ametoka benk
Madaktari wa wapi hao? Hivi ushafikaga hospitali?gari la wagonjwa litakuta tu madakari wengine huko hospitali waliopo zamu.
suala la daktari kukwama kwenye foleni linahitaji maandalizi ili liwezekane
Naunga mkonoMadaktari wa wapi hao? Hivi ushafikaga hospitali?
Hayo maandalizi yaguse wote...
Barabara zijengwe kwa kitanguliza akili si uchawa!