Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

Kutambulisho chake na uelewa wa askari ndio utambulisho wake.
magari aliyoyataja ya dharura hayakai foleni, sasa madereva wakiwa kwenye foleni watamtambuaje daktari, ndo nilicholenga, sio tu kwenye mtafaruku na askari pekee
 
Al-hamdulillah 🤲.
Ila Pia Na Nyinyi Madaktar
Muwe Na Utu Pale Mgonjwa Anapofikshwa Hospital Akiwa Mahututi Apate Huduma Kwa Wakati.
Kuliko Zile Pigo Zenu za Kupitia Madirishan Ilihali Unaiacha Nafsi Ya Mtu Ikielea Hewani Kisa Sijafungua file,sijalipia Dawa. Haya Yawe Ya Ziada Baada Ya Msaada kamili.
Biidhinllah 🤲
Daktari akifanya hivyo hata kama ni hospital ya private adhabu yake ni kupokwa Leseni.

So siamini kama kuna daktari wa hivyo.
 
Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Hicho kitakuwa chuo cha udereva wa AI ambacho wanafundisha kuipisha gari ya daktari.

Tuache kutetea uzembe kwa watumishi wa umma. Unajijua unakaa mbali na kituo chako cha kazi na barabara zetu ndiyo vile tena, basi unapaswa kuamka mapema ili uweze kufika kituo chako cha kazi kwa wakati.

Daktari anayeingia kazini asubuhi huwa anaenda kumtoa daktari aliyekesha zamu, hivyo wagonjwa wote waliopo na wanaokuja hospital hupatiwa huduma na daktari ambaye tayari yupo kazini kwakuwa huduma hazijawahi kusimama kumsubiri daktari anayetoka kwake ambaye hajulikani kama atafika ama la maana ya Mungu ni mengi.

Kwenda kazini sio dharura hao madaktari waache kutetea uvivu na uzembe. Wahi kuamka uwahi kazini.

Mbona wachuuzi wa samaki usiku mwingi unawakuta wameshaachia kitanda wapo barabarani kupambania mkate wao wa kila siku?
 
Sasa Ina make sense,KWA akili ya kawaida TU haiwezekani AMBULENCE (gari iliyobeba mgonjwa) ipitie KWA udharura bila kuzuiwa halafu izuiliwe gari ya daktari anayemtibu huyo mgonjwa aliyebebwa na AMBULANCE,Yani KWA akili TU za kawaida hata kama MTU ni kichaaa,hata kama sijasoma mambo ya barabarani na utrafiki..
 
matrafiki barabarani kupokonya funguo za gari na kutoa lugha za kuudhi kwa madereva kama wanavyotuhumiwa waache,hii wizara ya mapolisi ilikuwa inamfaa sana Simbachawene alianza kuwafundisha CODE OF CONDUCT maadili ya kazi Yao..kufanya kazi kwa weledi badala ya KUTUMIA NGUVU na pengine kubadilisha jina la mapolisi badala ya kuwaita POLICE FORCE waitwe POLICE SERVICE ,waache matumizi ya nguvu nguvu.
 
Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Wale waongowaongo na wajivuni wameumbuka! Unawakusanya ishirini kwanza halafu unawatanguliza wafike kibaha kisha unaanza safari ,ndani ya mda mchache unawapanga 10 kwanza unaenda kulia then unarudi kushoto ,unakaa dakika 1 unarudi tena kulia unapotea ,Baba Jane Bye Bye.
 
Kuna siku nilipita taa nyekundu,na ka corolla,nilimpakia Mama mzazi.Mara nikapigwa mkono,nikamwomba traffic nawahisha mgonjwa,aliniruhusu saa hiyo hiyo!
Yule traffic nikimkuta huwa na mwachia ya kubrush viatu
 
Nkishaweka coat nyuma ya kibunju changu naomba nipishwe na ukiulizia Funguo nakufanyia CPR
 
Si kweli.
Ila vijana wajinga lazima waamini huu upuuzi wa kuzusha.
Nimeenda driving school.
Watawadanganya vijana wajinga ambao akili zao wamempa Mange Kimambi
 
Kimsingi ni nchi Nyingi kama daktari ana dharura basi ata pishwa au kupewa kipaumbele.. huwa gari yake itawekwa kimulimuli maalumu.

Hakuna cha kujipa umuhimu hapo
Sasa kwa ninibkasubiri mpaka daktari kampiga trafiki kusema hili?

Na lini kadai magari ya madaktari yawe na vimukimuli kabla ya tukio hili?

Angesema kabla tungemuelewa, kusema baada ni kujipa umuhimu.
 
Ebu fikiria kwani gari la mgonjwa linawahi wapi ikiwa Daktari kakwama kwenye foleni?
gari la wagonjwa litakuta tu madakari wengine huko hospitali waliopo zamu.

suala la daktari kukwama kwenye foleni linahitaji maandalizi ili liwezekane
 
Back
Top Bottom