Kwa kawaida Askari huwa hana tatizo na Daktari na hutoa ushirikiano wa kutosha bila longolongo.Utawapa ving'ora madaktari wangapi wakati kila wakati wako standby, kama alimweleza askari akakimbilia kutoa ufunguo wakati anaenda kuokoa maisha ya mtu unategemea nini?
good ideaZipakwe rangi maalum kuwatambulisha.
Unamwambia Askari Mimi ni daktati nawahi kazini na kitambulisho unamwonyesha Kwa nyodo anakujibu hata yeye yupo kaziniUnamwambia tragiki nawaji kazinini kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.
ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?
ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora, kwa hali ya kawaida lkn ndiyo hivyo tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …
Sasa gari la jeshi linawahi wapi kwanini wasihi mapema ebu ishininkama urusiKwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
It makes sensekila mtu anaweza kueleza kwamba yeye ni daktari na anawahi dhrarura, na ndiyo maana nchi ( nyingi) huwa zina utaratibu na kanuni maalumu lengo ni kuondoa misuse.
jaribu kujiweka kwenye nafasi ya huyo trafiki ( again sijui details ya kilichotokea nimeona tu picha) halafu mtu anapita ukimsimamisha anakwambia yeye ni daktari na ana haraka kwenye jamii ambayo karibia kila mtu anaishi kwa udanganyifu in one way or another kutafuta njia ya mkato kwenda mbele ni maisha ya kawaida tanzagiza hakuna trust je, utamuachia mtu kama huyo aende? kwa maana kama ukimuachia akifika anaelezea kila mtu jinsi alivyomlaghai trafiki na kuachiwa before you know it kila dereva anageuka daktari mambo mengine ni magumu sana na ndiyo maana kuna kanuni rasmi zilizoandikwa ili wote tuweze kuishi kwa kuzifwata …
Unamwambia Askari Mimi ni daktati nawahi kazini na kitambulisho unamwonyesha Kwa nyodo anakujibu hata yeye yupo kazini
hapo unafanyaje?
Tatizo hawaweki stika za utambulisho, gari la daktari huwekwa stika ya "DOCTORS CAR" pia zipo stika za tahadhari tu kama "BABY INSIDE" ili itambulike vinginevyo koti jeupe si utambulisho kwani hata wachoma mishikaki nao wanayo.Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Hata hivyo kutokana na unyeti wa kazi zao ukizingatia pia uchache wao utaona inastahili wapewe hizo favour za kukwepa foleni !lkn siyo kila daktari ana dharura, hivyo siyo kila daktari anatakiwa awe exempted na foleni, bali ni yule tu ambaye yuko kazini na ana dharura kwa wakati huo lkn muda mwingine wote anapaswa kupanga foleni kama wengine tu.
ni lazima kuwe na utaratibu ili wote tuweze kuuufwata …
Kutambulisho chake na uelewa wa askari ndio utambulisho wake.gari la daktari? unalifahamu vipi 😁 chuo gani kinafundisha hivyo
Mbona trafiki ni waelewa sana.hawezi. kukukamata kama una mgonjwa au hata ukisema ni dr unawahi kazini lazina akuache.Kwa tukio lililotokea kunauwezekano walijibizana vibaya hadi ikawa hivyo.Polisi wajifunze kusikiliza. Mtu akikwambia mimi daktari nawahi dharura basi uliza kitambulisho kama anacho mwache aende.
Mimi nimewahi kusimamishwa nikiwa na mgonjwa kwenye gari, baada ya kuona jamaa wananipotezea muda nikawasha gari na kuondoka zangu. Bahati nzuri walinipotezea, lakini wangetaka kunikimbiza nilipanga tukimbizane mpaka pale emergency Muhimbili.
Ulikuwepo?!Utawapa ving'ora madaktari wangapi wakati kila wakati wako standby, kama alimweleza askari akakimbilia kutoa ufunguo wakati anaenda kuokoa maisha ya mtu unategemea nini?
Unatetea sana ujinga wa Traffic Polisi wa Bongoni kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.
ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?
ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora, kwa hali ya kawaida lkn ndiyo hivyo tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …
Al-hamdulillah 🤲.Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Mkuu, daktari ikiwa ana dharula anapaswa kufuatwa na gari la serikali (ambulance) ili afike hospitali na kumhudumia mgonjwa. Lakini madaktari wetu wanapambana, hawasubiri magari ya hospitali au ya wagonjwa yawafuate, wanatumia usafiri wao kuwahi makazini kuokoa uhai. Sasa wazo lako la kwamba wawe na ving'ora kwenye magari yao sio sawa, ID inatosha. Akisimamishwa akaonesha kitambulisho cha kazi, askari mwenye akili timamu hatamzuia.ni kweli, daktari akiwa kazini kama anawahi dharura anapaswa kupita lkn askari atajuaje kama huyu ni daktari na ana dharura? ambulance ina kingora, fire vile vile, sasa daktari ana nini? basi hata waonyeshe tu vitambulisho kwa trafiki vinginevyo ni ngumu kwa trafiki nafikiri.
ningeshauri wapewe vingora pia na kibao juu ya gari kilichoandikwa daktari kazini, vinginevyo trafiki atajuaje?
ikumbukwe hata ambulance wenyewe wanaruhusiwa tu kutumia kingora wakiwa na mgonjwa au wanawahi kumchukua mgonjwa na siyo safari zao za kawaida za ktk a-b, vile vile fire ni pale tu kunapokuwa dharura ya fire ambapo wanatakiwa wawahi ndiyo wanapaswa kuwasha kingora, kwa hali ya kawaida lkn ndiyo hivyo tanzagiza kila mtu mbabe na kupiga …
Kujipa umuhimu.Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Hoja ndiyo hiyo kwamba kitumike kitambulisho.Kwani siku hizi Vitambulisho vya Kazini haviaminiki tena ?
Matajiri wakubwa huko Russia na corrupt VIPs wanatumia sana “Ambulance taxis “ kama njia za kukwepa gridlocked streetsNimewahi kupewa lift kwenye ambulance, aisee tulikua tunapishwa na kuheshimiwa jamaa aliwasha tu king'ola sisi ni hivi tu kumbuka hata traffic ni marufuku kuipiga mkono ambulance zaidi ya kuiombea njia ipite na iwahi haraka, tumefika mwenge pale gari zikapigwa mkono na traffic sisi tupite tukapita shwaaa
Nb: Haikua na mgonjwa yoyote na wala haikua inafuata mgonjwa