magari aliyoyataja ya dharura hayakai foleni, sasa madereva wakiwa kwenye foleni watamtambuaje daktari, ndo nilicholenga, sio tu kwenye mtafaruku na askari pekeeKutambulisho chake na uelewa wa askari ndio utambulisho wake.
Daktari akifanya hivyo hata kama ni hospital ya private adhabu yake ni kupokwa Leseni.Al-hamdulillah ๐คฒ.
Ila Pia Na Nyinyi Madaktar
Muwe Na Utu Pale Mgonjwa Anapofikshwa Hospital Akiwa Mahututi Apate Huduma Kwa Wakati.
Kuliko Zile Pigo Zenu za Kupitia Madirishan Ilihali Unaiacha Nafsi Ya Mtu Ikielea Hewani Kisa Sijafungua file,sijalipia Dawa. Haya Yawe Ya Ziada Baada Ya Msaada kamili.
Biidhinllah ๐คฒ
Kimsingi ni nchi Nyingi kama daktari ana dharura basi ata pishwa au kupewa kipaumbele.. huwa gari yake itawekwa kimulimuli maalumu.Kujipa umuhimu.
Hicho kitakuwa chuo cha udereva wa AI ambacho wanafundisha kuipisha gari ya daktari.Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Wale waongowaongo na wajivuni wameumbuka! Unawakusanya ishirini kwanza halafu unawatanguliza wafike kibaha kisha unaanza safari ,ndani ya mda mchache unawapanga 10 kwanza unaenda kulia then unarudi kushoto ,unakaa dakika 1 unarudi tena kulia unapotea ,Baba Jane Bye Bye.Kwa Mujibu wa Ukurasa rasmi wa Rais wa Chama cha Madaktari MAT.. Dr. ALex ElifurahaView attachment 3669083
Especially undercoverYes.. nme ona kwenye nchi za mbali.. hata Askari akiwa na gari binafsi na dharura anakuwa na kimulimuli cha kupachika
Wewe je ulikuwepoUlikuwepo?!
Hao watapita njia za "wapita kwa miguu" ๐ถ ๐ถ ๐6. Walimu wa Hesabu.
Sasa kwa ninibkasubiri mpaka daktari kampiga trafiki kusema hili?Kimsingi ni nchi Nyingi kama daktari ana dharura basi ata pishwa au kupewa kipaumbele.. huwa gari yake itawekwa kimulimuli maalumu.
Hakuna cha kujipa umuhimu hapo
Ebu fikiria kwani gari la mgonjwa linawahi wapi ikiwa Daktari kakwama kwenye foleni?gari la daktari? unalifahamu vipi ๐ chuo gani kinafundisha hivyo
Sasa gari la mgonjwa linawahi wapi ikiwa Daktari kakwamishwa kwenye foleni?Si kweli.
Ila vijana wajinga lazima waamini huu upuuzi wa kuzusha.
Nimeenda driving school.
Watawadanganya vijana wajinga ambao akili zao wamempa Mange Kimambi
gari la wagonjwa litakuta tu madakari wengine huko hospitali waliopo zamu.Ebu fikiria kwani gari la mgonjwa linawahi wapi ikiwa Daktari kakwama kwenye foleni?