Rais wa MAT: Magari matano ya kuyapisha Barabarani.

gari la wagonjwa litakuta tu madakari wengine huko hospitali waliopo zamu.

suala la daktari kukwama kwenye foleni linahitaji maandalizi ili liwezekane
Madaktari wa wapi hao? Hivi ushafikaga hospitali?
Hayo maandalizi yaguse wote...
Barabara zijengwe kwa kitanguliza akili si uchawa!
 
Reactions: Lax
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…