SoNotorious
JF-Expert Member
- Sep 11, 2011
- 2,422
- 859
Mimi Pia nina muunga mkono Rais Jk Kuita Shilingi taTZ ni Pesa ya Madafu kwa sababu Tanzania hakuna Viongozi wa Serikali wanaojali Maslahi ya Wananchi Viongozi karibu wote ni wabinafsi wanaojali Maslahi yao na Familia yao hawajali walala hoi. mimi pia ninaita Shilingi ya Tz ni Pesa ya Machungwa sio Madafu tu.
Ni hela za madafu maana walibeba kwa Magunia, viroba, sandarusi na mafuso siku nzima. Ingelikuwa ni US dollars hata gunia moja lisingejaa
Mkwele tangu lini akawa na akili?
Sasa hiyo ni noma kwanini hukusema alipokuwa madarakani?
Kwa mfano ningesema kipindi kile ungemfanyaje? Hujui katika nchi yetu Kuwa rais ni mkingiwa dhambi