Helicobacter pylori
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 424
- 283
Najibu swali lako mleta uzi..
"Ana akili za madafu" ndio ujumbe anaoutuma kwangu mwananchi.
"Ana akili za madafu" ndio ujumbe anaoutuma kwangu mwananchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli alichosema Rais wetu kuwa Pesa ya Tanzania ni Pesa ya Madafu mimi huwa ninaita Shilingi ya Tanzania ni Pesa ya machungwa sasa angalia machungwa na madafu ipi zaidi Mkuu Kinyungu Pesa ya Tanzania ingelikuwa na thamani mbona tungelikuwa tumekwisha kuendelea kimaendeleo.Lakini pesa yetu ya Machungwa haina thamani tutaendelea kivipi? Viongozi wetu wengi wao ni Mafisadi na Wala Rushwa tutaweza kweli kuwa na maendeleo? Rais ana haki kusema Pesa ya nchi yake ni pesa ya Madafu haina thamani ndani na nje ya nchi mimi pia nina muunga mkono Mheshimiwa Rais JK..
Jaji Warioba aliongelea kumheshimu rais kwa sababu urais ni alama ya taifa.
Fedha za taifa ni alama nyingine ya taifa.
Inapotokea alama moja ya taifa (rais) inaidhalilisha alama nyingine ya taifa (fedha), inabidi tujiulize kama wanaomdhalilisha rais wanafanya makosa kweli au wamechoshwa na ukosefu wa nidhamu, staha na ujuzi unaoonyeshwa na rais kiasi cha kufanya watu waweke pembeni habari za Jaji Warioba za "rais ni alama ya taifa" na kumnanga JK tu.
Waingereza wanasema "Respect is earned", Waswahili wanasema "Jiheshimu uheshimike".
Rais anayeiita fedha ya nchi yake "hela ya madafu", anategemeaje kuheshimiwa?
Thank you Sir!Jaji Warioba aliongelea kumheshimu rais kwa sababu urais ni alama ya taifa.
Fedha za taifa ni alama nyingine ya taifa.
Inapotokea alama moja ya taifa (rais) inaidhalilisha alama nyingine ya taifa (fedha), inabidi tujiulize kama wanaomdhalilisha rais wanafanya makosa kweli au wamechoshwa na ukosefu wa nidhamu, staha na ujuzi unaoonyeshwa na rais kiasi cha kufanya watu waweke pembeni habari za Jaji Warioba za "rais ni alama ya taifa" na kumnanga JK tu.
Waingereza wanasema "Respect is earned", Waswahili wanasema "Jiheshimu uheshimike".
Rais anayeiita fedha ya nchi yake "hela ya madafu", anategemeaje kuheshimiwa?
Shedaaa,,,,,,,,Pamoja na madhaifu yote ye JK kuhusu sakata la Escrow, mwenzenu natatizwa na upeo na uzalendo wa mkuu huyu jamani. Kui ita fedha halali ya nchi yako "madafu" ni kuidhalilisha nchi yako mwenyewe. hivi nani aanze kuithamini fedha yake kama mkuu wa nchi? na je mgeni akija akachukua fedha ambayo mkuu anaiita madafu akaenda chooni na kuchambia atakuwa ametenda kosa? tunaimbishwa kupenda vya kwetu, but unapoanza kutumia lugha ya ku-dunisha kilichochako nani akipende?. tumeimbishwa methali ya kuwa "ziwa la mama ni tamu hata kama ni la mbwa". misemo kama hii kaka yetu amesahau kabisa. najuta kumfahamu...
Mimi naogopa sana! Ipo siku Rais ataita State house kama Guest house
Watetezi watakuja na kusema hiyo ni tafsida.
MKULU alipoana wazee wa darisalama(dar es salaam),hawacheki hawatabasamu,wanamuangalia tu,akaona labda akisema ela za madafu watapiga vigeregere,kumbe ndo anaharibu zaidi
kwa mkuu wa nchi kusema neno kama hili whether anasema akichekacheka ama la inathali kiuchumi na katika ulimwengu wa roho! ni kuishusha dhamani ni kuilaani shilling yetu!
Mkuu aliteleza kidogo jamani hakuwa na maana mbaya
Watu wa pwani shida sana!
Ukitaka kuhakikisha tafuta hotuba aliyomjibu George Bush kumkaribisha, sehemu ya majibu na maswali umuone anavyojifaragua mpaka kusema anakuwa kama anashindwa hivi.