Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hii?
Halafu cheki 10:11....Bush alikuwa ananifurahisha sana.
Hapo watu washaangalia how culturally appropriate that greeting is etc.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii?
Halafu cheki 10:11....Bush alikuwa ananifurahisha sana.
Unaweza kusema kama utani, lakini ukweli ni kwamba Kikwete ana tabia ya kupepesa macho sana akijiona ana audience fulani hivi.
Ukitaka kuhakikisha tafuta hotuba aliyomjibu George Bush kumkaribisha, sehemu ya majibu na maswali umuone anavyojifaragua mpaka kusema anakuwa kama anashindwa hivi.
Mkuu mtoa mada hili jambo liliniuma sana nikalipost facebook straight ili liwalo na liwe. Wachangiaji wasioona tatizo ni washabiki ambao upeo wao wa masuala ya uchumi na fedha ni mdogo sana. Na hawajui thamani ya fedha inaakisi nini, pili hata Kikwete mwenyewe hajui kwanini hela yetu inashuka thamani kila uchwao. Kweli shule ni tatizo
Ila ukae ukijuwa kikwete mwenyewe lugha haipandi..hana uwezo wa kuongea kiingereza kabbisa kabisa anaongea very poor English utadhani form 2 aliyefeli.
Kwa kweli huyu m baba anatia aibu sana.
Ila ukae ukijuwa kikwete mwenyewe lugha haipandi..hana uwezo wa kuongea kiingereza kabbisa kabisa anaongea very poor English utadhani form 2 aliyefeli.
Kwa kweli huyu m baba anatia aibu sana.
Ulitaka Rais aseme kitu gani zaidi ya hivyo alivyosema? Shilingi ya Ki-Tanzania ni pesa ya Madafu Au Pesa ya Machungwa haina thamani kokote pale duniani. Wewe Fananisha Shilingi ya Ki-Tanzania na Shilingi ya Ki-Kenya ipi Pesa yenye Thamani? Mkuu SoNotorious Amka acha mapenzi ya kupenda kitu kwako hakina thamani ili mradi unakipenda utapenda umasikini eti ukiulizwa mzee wangu pia alikuwa ni masikini changamka kuondo wa umasikini nyumbani kwako .Hata kwenye huu ujinga uko na JK, hii ni zaidi ya mahaba niue.
Kikwete hata Kiswahili tu kujieleza mzigo.
Ulitaka Rais aseme kitu gani zaidi ya hivyo alivyosema? Shilingi ya Ki-Tanzania ni pesa ya Madafu Au Pesa ya Machungwa haina thamani kokote pale duniani. Wewe Fananisha Shilingi ya Ki-Tanzania na sasShilingi ya Ki-Kenya ipi Pesa yenye Thamani? Mkuu SoNotorious Amka acha mapenzi ya kupenda kitu kwako hakina thamani ili mradi unakipenda utapenda umasikini eti ukiulizwa mzee wangu pia alikuwa ni masikini changamka kuondo wa umasikini nyumbani kwako .
Nadhani watanzania tumerogwa kwani mara ya ngap unasikia ela ya tz ikiitwa madaf na watanzania wenzetu? Kwani rahis anaweza akawa ametumia lugha iliyozoeleka simlaum sana maana ujumbe ulifika kirahis
Kikwete hata Kiswahili tu kujieleza mzigo.
kwaiyo unakubali alitumia Lugha ya mitaani?
Mimi sioni tatizo lolote kwa sababu haliondoi ukweli na halileti athari yoyote katika uchumi.
Mbona maneno ya utani au wakati hata UK wanaita utawasikia wanaita pesa yao majina kama quid, nicker, bin lid, vile vile hata Wamarekani wanaita pesa yao majina kama bucks.
Labda kwa kuweka sawa tu,Uwezo wa Rais wetu unatia mashaka. Lugha za mitaani na sokoni Kariakoo huwezi kuziweka katika hotuba ya kitaifa kama ile ambayo unajua nchi nzima na mashirika wahisani wanasubiri kusikia utasema nini.
Kama kiongozi wa nchi anajua wazi kuwa utawala wake umeshindwa kuimarisha uchumi na pesa yetu inadondoka kwa kasi na wananchi kwa hasira waaiita pesa hiyo ya MADAFU. Hakupaswa naye kama Rais kulibariki jina hilo la kejeli la pesa yetu hadharani. Hii nisawa na mwenye mke ambaye anashindwa kumtunza kiasi anaonekana mchafu na mtaani ana jina la utani " Masulupwete".
Sasa mume awe ana address kikao cha mtaani kisha anamtambulisha mkewe kama Masulupwete huo sii utakuwa ujinga?
Ulitaka Rais aseme kitu gani zaidi ya hivyo alivyosema? Shilingi ya Ki-Tanzania ni pesa ya Madafu Au Pesa ya Machungwa haina thamani kokote pale duniani. Wewe Fananisha Shilingi ya Ki-Tanzania na Shilingi ya Ki-Kenya ipi Pesa yenye Thamani? Mkuu SoNotorious Amka acha mapenzi ya kupenda kitu kwako hakina thamani ili mradi unakipenda utapenda umasikini eti ukiulizwa mzee wangu pia alikuwa ni masikini changamka kuondo wa umasikini nyumbani kwako .