Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

Nakushauri uache kutumia hicho kinywaji unachokunywa au kuvuta.
 
Si Hadithi hizi tuu ulizoainisha za uzushi zipo nyng mnoo na haujanza wewe huu uzushi tokea mtume yupo hai na mpk amefariki..
Quran haijipingi kama Bible na haibadiriki na haotokuja kubadilika na inajilinda na itajilinda na haithiriki na mazingira wala teknolojia zipo Quran za uzushi..umeweka porojo zako..nakusisitiza tena QURAN HAIJIPINGI...cha msingi umeshakula sakramenti umeshakua kondoo wa Yesu hata ukiwa Shoga it's OK utapokelewa vzr tuu
 
Sasa wewe ushakula sakramenti upo kwa Yesu chaguo ni lako uwe Shoga..Yesu atakupokea huo ndo uzuri wa sakramenti hata uliwe kiboga vipi wewe ni wa Yesu tuu
 
Yaani anawasifia wapalestina wanauawa kama kuku huku nchi yao ya gaza inageuzwa vifusi ila yeye ayatollah amejificha ndani na shuka lake huko Teherani na familia yake ipo salama wapalestina wawe makini kuendelea kutumika kijinga
 
Watu wanapigania uhuru wa nchi yao weee unaleta habari za kusutana huku.
Wanapigaje kwa kubaka wanawake wa kiyahudi, kwa kuchoma moto watoto wa kiyahudi, kwa kuteka bibi wazee, wanawake na watoto kwanza hamas wanapigania nchi gani wakati hapajawahi kuwepo na taifa la palestina
 
Daaah
 
Ukishakuwa mkiristo basi unatatizo la ufahamu ktk maswala ya dini
 
Hukuchagua isipokuwa msenge mwenzako huyo Abbas nani anaye mtaka, hakuna hata Mpalestine anamtaka huyo nikibaraka wa America hana faida hata siku moja na wapalestina, tena watu wa Gaza ndio hawamtaki hata kumsikia.

Bora afunge domo lake tu.
 
Ukifa ukiwa mkiristo ni hasara sana
13 Nikasikia sauti kutoka mbinguni ikisema, Andika, Heri wafu wafao katika Bwana tangu sasa. Naam, asema Roho, wapate kupumzika baada ya taabu zao; kwa kuwa matendo yao yafuatana nao.
Ufunuo wa Yohana 14:13
6 Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.
Yohana 14:6
 
"Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa"

Kumsifia mtu na huku anateseka? Mbona inasikitisha Sana duh
Inashangaza yeye haoneshi mfano kujitoa Mhanga.
 
Wanapigaje kwa kubaka wanawake wa kiyahudi, kwa kuchoma moto watoto wa kiyahudi, kwa kuteka bibi wazee, wanawake na watoto kwanza hamas wanapigania nchi gani wakati hapajawahi kuwepo na taifa la palestina
Wakati sahihi ukifika utajua tu wanapigania nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…