Checheto
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 836
- 694
Huo ni uongoUlishawahi kumbikiri binti? Na kama bado,sikushangai kwa hii comment yako. Wenzio wakifa wanaenda kuji sevia tu huko peponi. Nikupigana miti tu day and night
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni uongoUlishawahi kumbikiri binti? Na kama bado,sikushangai kwa hii comment yako. Wenzio wakifa wanaenda kuji sevia tu huko peponi. Nikupigana miti tu day and night
Shauli yakoHuo ni uongo
Jf sio Madrassa mnapopotezana kwa uongo mtupu...Israeli ni nchi Fake haipo duniani
Kwani hapa tupo parokiani mkuuJf sio Madrassa mnapopotezana kwa uongo mtupu...
Hueleweki mzee au umelewa chang'aaAnayesuta ni huyo huyo mnayesema mnampigania uhuru, tatizo hiyo dini huwa mumechanganyikiwa.
Hahaa, alitendwa kumbeKama hii ni faida Kwa nenda kafaidike dogo MAANA wahenga walisema Ashki majunun
👇👇
Kataa Kwa Ushahidi huu kama hutafika jehannam!
Hivi allah anaposema Waislamu woote wataenda jehannam unaona anafanya maskhara eeh
👇👇
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
[ MARYAM - 71]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuipata. Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Imepokewa kutoka kwa Anas: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Watu watatupwa Motoni na jehannam itasema: Jee Kuna ziada na ije! (Quran.50.30) mpaka Allah atakapoweka Mguu wake juu yake, na jehannam itasema: Qati! Qati! (Yatosha!)
Sahih al-Bukhari 4848 Sahih al-Bukhari 4848 - Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh)) - كتاب التفسير - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)
Kama unabisha Allah Maskani yake sio jehannam Tuwekee Ushahidi Aliutoa mguu wake jehannam!🎤
allah Hana Maskhara na mtoto wa Mtu! Alimuua muhammad Kwa kumkata mshipa mkuu wa Moyo baada ya kuzua zua uongo!
👇👇
وَلَوْ تَقَوَّلَ عَلَيْنَا بَعْضَ الْأَقَاوِيلِ
(AL - H'AAQQAH - 44)
Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,
لَأَخَذْنَا مِنْهُ بِالْيَمِينِ
(AL - H'AAQQAH - 45)
Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,
ثُمَّ لَقَطَعْنَا مِنْهُ الْوَتِينَ
(AL - H'AAQQAH - 46)
Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!
فَمَا مِنكُم مِّنْ أَحَدٍ عَنْهُ حَاجِزِينَ
(AL - H'AAQQAH - 47)
Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.
Kabaki analia Lia!
👇👇
Sahih al-Bukhari 4428
Imepokewa kutoka kwa Aisha:
Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika maradhi yake aliyofariki, alikuwa akisema: “Ewe Aisha! Bado nahisi maumivu ya chakula nilichokula pale Khaibar, na wakati huu nahisi kana kwamba mshipa wangu wa moyo unakatika. kutokana na sumu hiyo."
وَقَالَ يُونُسُ عَنِ الزُّهْرِيِّ، قَالَ عُرْوَةُ قَالَتْ عَائِشَةُ ـ رضى الله عنها ـ كَانَ النَّبِيُ َّ لُمْ ِي فَلَّ لَ يَا سَلَّعْ فَلَى ضِهِ الَّذِي مَاتَ فِيهِ " يَا عَائِشَةُ مَا أَزَالُ أَجِدُ أَلَمَ الطَّعَامِ الَّذِي أَكَلِشَةُ بِخَتَفَّتُ تَبَّعَمِ الَّذِي انْقِطَاعَ أَبْهَرِي مِنْ ذَلِكَ السَّمِّ "
Rejea : Sahih al-Bukhari 4428
Rejeleo la ndani ya kitabu : Kitabu cha 64, Hadith 450
Hivi allah anaposema Waislamu woote wataenda jehannam Waisilamu wanaona anafanya maskhara eehUkifa ukiwa mkiristo ni hasara sana
Quran Yenyewe ni hadithi njoo uongo kolea 🙄😜Si Hadithi hizi tuu ulizoainisha za uzushi zipo nyng mnoo na haujanza wewe huu uzushi tokea mtume yupo hai na mpk amefariki..
Quran haijipingi kama Bible na haibadiriki na haotokuja kubadilika na inajilinda na itajilinda na haithiriki na mazingira wala teknolojia zipo Quran za uzushi..umeweka porojo zako..nakusisitiza tena QURAN HAIJIPINGI...cha msingi umeshakula sakramenti umeshakua kondoo wa Yesu hata ukiwa Shoga it's OK utapokelewa vzr tuu
Hadithi si kitabu ni mawaidha yaliyotokana na Quran au njia nyepesi tafsiri na ufafanuzi..Hata
Quran Yenyewe ni hadithi njoo uongo kolea 🙄😜
👇👇
اللَّهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمْ وَقُلُوبُهُمْ إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ ۚ ذَٰلِكَ هُدَى اللَّهِ يَهْدِي بِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ
[ AZZUMAR - 23 ]
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa.