Rais wa Palestina amsuta kiongozi wa dini wa Iran kuhusu vifo vya Wapalestina

Kuna Waarabu wengine wana akili sio hawa wa Kwamsisi na Ifakara
 
Nenda huko huko kwny Ushia ndo utakutana na hizo Miratul rasul halafu jitazame mara 2 kuniita dogo..weeh tamba na sakramenti yako
 
Hahaa, alitendwa kumbe
 
Ukifa ukiwa mkiristo ni hasara sana
Hivi allah anaposema Waislamu woote wataenda jehannam Waisilamu wanaona anafanya maskhara eeh
👇👇
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ila mwenye kuipata. Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

Imepokewa kutoka kwa Anas: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Watu watatupwa Motoni na jehannam itasema: Jee Kuna ziada na ije! (Quran.50.30) mpaka Allah atakapoweka Mguu wake juu yake, na jehannam itasema: Qati! Qati! (Yatosha!)

Sahih al-Bukhari 4848 Sahih al-Bukhari 4848 - Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh)) - كتاب التفسير - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)

Kama kuna anaebisha kwamba Allah Maskani yake sio jehannam Tuwekeeni Ushahidi Aliutoa mguu wake jehannam!🎤

allah Hana Maskhara na mtoto wa Mtu! Alimuua muhammad Kwa kumkata mshipa mkuu wa Moyo baada ya kuzua zua uongo!
👇👇
وَلَوْ تَقَوَّلَ عَلَيْنَا بَعْضَ الْأَقَاوِيلِ

(AL - H'AAQQAH - 44)
Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,

لَأَخَذْنَا مِنْهُ بِالْيَمِينِ

(AL - H'AAQQAH - 45)
Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,

ثُمَّ لَقَطَعْنَا مِنْهُ الْوَتِينَ

(AL - H'AAQQAH - 46)
Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!
فَمَا مِنكُم مِّنْ أَحَدٍ عَنْهُ حَاجِزِينَ

(AL - H'AAQQAH - 47)
Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.

Kabaki analia Lia!
👇👇
Sahih al-Bukhari 4428
Imepokewa kutoka kwa Aisha:

Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika maradhi yake aliyofariki, alikuwa akisema: “Ewe Aisha! Bado nahisi maumivu ya chakula nilichokula pale Khaibar, na wakati huu nahisi kana kwamba mshipa wangu wa moyo unakatika. kutokana na sumu hiyo."

وَقَالَ يُونُسُ عَنِ الزُّهْرِيِّ، قَالَ عُرْوَةُ قَالَتْ عَائِشَةُ ـ رضى الله عنها ـ كَانَ النَّبِيُ َّ لُمْ ِي فَلَّ لَ يَا سَلَّعْ فَلَى ضِهِ الَّذِي مَاتَ فِيهِ ‏ "‏ يَا عَائِشَةُ مَا أَزَالُ أَجِدُ أَلَمَ الطَّعَامِ الَّذِي أَكَلِشَةُ بِخَتَفَّتُ تَبَّعَمِ الَّذِي انْقِطَاعَ أَبْهَرِي مِنْ ذَلِكَ السَّمِّ ‏" ‏
Rejea : Sahih al-Bukhari 4428
Rejeleo la ndani ya kitabu : Kitabu cha 64, Hadith 450

Njoo Kwa Yesu akunusuru na moto aliouandaa Allah...
 
Hata
Quran Yenyewe ni hadithi njoo uongo kolea 🙄😜
👇👇
اللَّهُ نَزَّلَ أَحْسَنَ الْحَدِيثِ كِتَابًا مُّتَشَابِهًا مَّثَانِيَ تَقْشَعِرُّ مِنْهُ جُلُودُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُمْ ثُمَّ تَلِينُ جُلُودُهُمْ وَقُلُوبُهُمْ إِلَىٰ ذِكْرِ اللَّهِ ۚ ذَٰلِكَ هُدَى اللَّهِ يَهْدِي بِهِ مَن يَشَاءُ ۚ وَمَن يُضْلِلِ اللَّهُ فَمَا لَهُ مِنْ هَادٍ

[ AZZUMAR - 23 ]
Mwenyezi Mungu ameteremsha hadithi nzuri kabisa, Kitabu chenye kufanana na kukaririwa; husisimua kwacho ngozi za wenye kumkhofu Mola wao Mlezi. Kisha ngozi zao na nyoyo zao hulainika kwa kumkumbuka Mwenyezi Mungu. Huo ndio uwongofu wa Mwenyezi Mungu, na kwa huo humwongoa amtakaye. Na ambaye ameachwa na Mwenyezi Mungu kupotea, basi hapana wa kumwongoa.
 
Hadithi si kitabu ni mawaidha yaliyotokana na Quran au njia nyepesi tafsiri na ufafanuzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…