Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Wa Rwanda Mheshimiwa Paul Kagame Kufanya Ziara ya Siku moja Nchini siku ya kesho.
Ambapo katika ziara hiyo atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wetu Mpendwa na Moyo Wa Taifa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan.
Rais wetu Mpendwa anaendelea kuonyesha ushawishi wake Barani Afrika. Ikumbukwe ya kuwa wiki ijayo pia Rais wa kenya atatua Nchini. Ambapo atapata nafasi ya kuhulihutubia Bunge la Tanzania.
Kwa Hakika Rais Samia Nuru ya wanyonge Ameliheshimisha Taifa letu na kumfanya kila mmoja kutamani kufika Nchini kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu wa masuala mbalimbali kwa ustawi wa wananchi na jamii.
Rais Samia ni kama Maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Ndio Pumzi ya Taifa hili. Bila yeye Taifa lingekuwa ni kituko Duniani kote.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nimeandika kwa kiswahili ili ma CHADEMA yaelewe ujumbe wa Barua hiyo ambayo ipo katika lugha ya malkia. Maana wengi ma CHADEMA yalikimbia shule na ndio maana unaona huwa wanashindwa kujenga hoja na kukimbilia kutukana matusi kama vichaa au wendawazimu.