TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kwani tulikubaliana vipi jamani?. Thread zote zile yaani una huzuni?.
You can't be serious
 
Ndugu yangu. Elewa kwamba akili ziko tofauti. Kiufupi kila mtu ana kalama yake.

Usione vile unajua kuandika na kusoma ukazani wewe ungepewa nchi ungefanya haya yaliyo fanywa na JPM.
Na wewe umejuaje kama ningeshindwa, au labda ningeweza kufanya makubwa kuliko yeye?
 
wewe huwezi juta maana majuto uliyo nayo kuhusu maisha yako ni kisanga tosha.

hata enzi za jk watu walifanya kwa uelekeo wa boss,ujinga ulikuwa ni kudhani magufuli ni jk.

ndio hapo mkaishia kuliwa na rushwa.
Aisee. Acha hizo. Mimi ni mtu huru kila eneo.
 
huwezi kuwa mtu huru ukapingana na aliyoyafanya magufuli.

maana hakufurahisha ccm wala chadema.
Nani Kasema ninapinga yale mazuri aliyofanya? Ni malaika yule na sasa anaongoza jeshi la malaika huko mbinguni na atakutana huko na watanzania pia kama kina Ben na wengine wote katika orodha yote ijulikanayo na usiyojulikana.
 
Na wewe umejuaje kama ningeshindwa, au labda ningeweza kufanya makubwa kuliko yeye?
Tunaongelea tulivyoviona. Vya ndotoni tusubiri.

Na hapo rudi Sasa ukasome bandiko langu la kwanza.
 
1.Aliwasema mabeberu waziwazi.

2. Mabeberu hawakumjibu.

3.Alizungumzia sana juu ya kifo chake.

4.Aliwaambia watanzania wamuombee Vita ya kiuchumi ni mbaya zaidi je alihisi maadui wa sera zake wanamtafuta?

5.kama haitoshi katibu wake anafariki na yeye anafwata mwezi mmoja baadae.

Inafikirisha Sana.
 
Yes. Yes. Yes. Tuungane sasa ili tuomboleze kwa amani, utulivu & upendo -- then tuijenge Tanzania yetu.
 
Corona part two ni hatari sana kwa watu wenye umri mkubwa na pia watu wenye kinga dhaifu mwilini! Watu wenye magonjwa sugu ya kuambukiza na yale yasiyo ya kuambukiza, nk.

Tuendelee kuchukua tahadhari! Na tupunguze/kuacha kabisa kitu kinachoitwa UKAIDI na UBISHI wa kijinga!! 😇
 
Ujinga mtupu
 
Mabeberu ndio wenye password na imei ya peace maker uwezo wa kukidukua wanao unaanza vipi kuwananga.
Unashindana na walioshika uhai wako.
 
Mkaguzi mkuu wa serikali anatakiwa afanye ukaguzi pale hazina kwanza kabla hawajampa mama nchi jumla jumla
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…