Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,140
- 9,667
Siwezi kuwa mnafiki kamwe....Mkuu mi nadhani wewe ndiye mnafiki kuliko hao unaowasema.
Tuomboleze kwa amani.
Utawaona wanavaa muda si mrefuWaliokuwa wanamuiga kutokuvaa mask. Jamani akili mkichwa.
Mzee hiyo chanjo unayoshadadia ndo' unaona usalama? Mbona huko walipoanza wameisitisha?Waliokamatwa kwa kuhoji afya ya rais waachiwe huru na walipwe fidia!...
AminaBwana ametoa na bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Umemdharau wewe, sie tumemuelewa vizuri tu..Kwa hili viongozi wamedharaulika sana hasa PM yaani sijui lengo lao lilikuwa nini?
Kha?!Siamini
Unaulizia vumbi stoo?Kwani corona ndo sababu?
Ulkuwa unajaribu kumaanisha nini??Naanza kubadili taswira yangu juu ya imani kumbe ni kweli Mungu yupo huu ni muujiza risasi 16 kapona halafu daaaa mengine siwezi endelea ....