Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
AiseeCorona ilikuwa ni baraka iliyojificha Tanzania, japo imeondoka na watanzania wachache lakini imesaidia Tanzania kupata Uhuru wake kwa mara ya pili
AiseeDikteta Magufoool.
Tulikuwa na Rais kichaa na mgonjwa.
Hapo sasa Alikua anampigia Push-up mwenzieWote waliomdhihaki wameshatangulia mbele ya haki.
[emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375][emoji375]Matendo ya utumishi wa Hayati JPM ni wazi yanastahili kumuweka katika ukurasa wa Mwenye Heri na pengine kuwa Mtakatifu..
Angalia alivokuwa Mchamungu, mzalendo, mwajibikaji, mwenye huruma na aliyejali Masikini na aliyeleta maendeleo kwa muda mfupi.
Anaondoka bila kunyonga wafungwa, kapewa kitubio dk za mwisho na mafuta ya wagonjwa.
Alimwogopa na kumtanguliza Mungu. Sitashangaa Korona hii tena itapotea ghafula kama last year kwa maombi na sayansi kiasi (despite mikusanyiko hii) . Je hiyo siyo miujiza wkt nchi zingine wanateseka sana pamoja na masharti magumu?
Huyu mkuu naamini tutakutana mbinguni.
Afanyiwe uchambuzi wa kuwa Mwenye Heri.
Watoto saba na wajukuu kumijamani nauliza magufuli ameacha watoto wangapi?
Ukijibu nitag
Matendo ya utumishi wa Hayati JPM ni wazi yanastahili kumuweka katika ukurasa wa Mwenye Heri na pengine kuwa Mtakatifu..
Angalia alivokuwa Mchamungu, mzalendo, mwajibikaji, mwenye huruma na aliyejali Masikini na aliyeleta maendeleo kwa muda mfupi.
Anaondoka bila kunyonga wafungwa, kapewa kitubio dk za mwisho na mafuta ya wagonjwa.
Alimwogopa na kumtanguliza Mungu. Sitashangaa Korona hii tena itapotea ghafula kama last year kwa maombi na sayansi kiasi (despite mikusanyiko hii) . Je hiyo siyo miujiza wkt nchi zingine wanateseka sana pamoja na masharti magumu?
Huyu mkuu naamini tutakutana mbinguni.
Afanyiwe uchambuzi wa kuwa Mwenye Heri.
Huo muda wa kurudia kusoma ujinga ntautoa wapi?Tunaongelea tulivyoviona. Vya ndotoni tusubiri.
Na hapo rudi Sasa ukasome bandiko langu la kwanza.
Mama Samia hapendi hilo neno KWIOIla jamani mbona mnajitoaga ufahamu namna hyo..hiyo mwenye heri KWIO
Hata mm silipendi..bas tu nimeliandikaMama Samia hapendi hilo neno KWIO
Hata Nape kumbe tayari? Au sijui maana ya neno wote.Wote waliomdhihaki wameshatangulia mbele ya haki.