TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Huu ndo ukweli mchungu kiongozi, lazima mtu uangalie kwa jicho lingine.
Sitaki kuamini huyo mzee wa energy na wengine siku alipofariki/atakapofariki mama/baba yake atatoa machozi hivyo.
 
Wapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!
Si mlileta siasa maji taka, sie tunawaletea siasa safi! Na huko mlikokuwa mnamchafua Magufuli nao wanafuatilia yote ili na wao waanze kuwasuta kwa upuuzi mliokuwa mnaharisha kupitia matundu yenu mfyuuuuuu!
Andaeni na ajenda kabisa Mwaka 2025 muwaambie watanzania kwenye Msiba mulijaza nyomi.
 
Ndio maana tukasema yule ni Rais wa JMT sio mhuni lazima kila mtu ashituke tena kuna wengine walikua wana masikitiko huenda katiba haitafutwa katika utaratibu wa Madaraka Mkuu ila sio onhoo!! Kipenzi cha wa nyongee Mara nyomi hakili hizo?
 
Kuna aliyebisha !!!
unaonea wivu maiti
Kinacho fanyika sasa ni maonesho! Jambo ambalo si sahihi kwa marehemu na pia familia yake. Alitakiwa aagwe sehemu mbili tu! Alipofia (Dsm) na anako zikiwa (Chato)!

Huko kwingine kote anakozungushwa na bodaboda kukimbiza msafara huku wakioiga makelele, siyo kitendo kizuri hata kidigo.

By the way, sina sababu ya kumuonea marehemu wivu. Ila nimeshawahi kufiwa! Hivyo naongea kutokana na uzoefu.
 
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Mwanaume wa Dar katika ubora wake!! 😇
 
Habarini wanajukwaa!!

Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.

Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.

Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Kama Ruge na Mengi walivuta Nyomi hivi hawa CCM walitegemea nini kwa Rais wa nchi. Au hawakutegemea haya baada ya yale yaliyoendelea kwenye uchaguzi .... Watanzania wanahuruma sana na wana hofu ya Mungu!!
 
Wapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!
Si mlileta siasa maji taka, sie tunawaletea siasa safi! Na huko mlikokuwa mnamchafua Magufuli nao wanafuatilia yote ili na wao waanze kuwasuta kwa upuuzi mliokuwa mnaharisha kupitia matundu yenu mfyuuuuuu!
Pumzika kwa amani shujaa wetu Magufuli!
Ulipendwa na kukubarika mwana mwema wa Africa[emoji24]!
Shujaa wa corona.

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Habarini wanajukwaa!!

Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.

Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.

Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Mbona umechelewa sana kujua !
 
Utatengenganishaje? Wakati aliyekufa mbali ni rais pia mwanaCCM.

Au ulitaka wafanyaje?
 
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...

Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)

Au anahuzunika sanaa..

ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822

Waswahili wanasema mnafiki hana sababu, yaani watu mnaonea chuki na wivu hadi msiba!? Mnahitaji maombezi kwa kweli maana ....
Halafu sisi watu wazima mjue, mambo mengine ni laana hamjui???? Unakua na chuki na maombolezo!?
Sad!

Wacha tumlilie rais wa Watanzania

Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngooooo
Lissu hawi rais Sawa, ila pia babu yenu hainuki tena funza wanamfaidi tangu juzi.
 
Wakamlaze huyo Mzee au la sivyo ataozea kwenye Hilo sanduku
 
SIO MKAKATI WA CCM YOTE BALI NI MKAKATI WA GENGE WALIOTAKA "KUMPINDUA" MAMA SAMIA WAKASHINDWA ...SASA WANAIFANYA MAITI YA MAGUFULI KUIZUNGUSHA ILI KUTENGENEZA HISIA KWA KUNDI LA "WANYONGE`' AMBAO WAMEKUWA WAKIWAFANYA MISUKULE YAO KISIASA KAMA WATETEZI WA WANYONGE ......LENGO NI KUMPA MAZINGIRA MAGUMU SAMIA KUTAWALA...WAKILAZIMISHA WAWEMO KWENYE NAFASI MUHIMU KWA KIGEZO WANABEBA NDOTO ZA MAREHEMU KAMA MTETEZI WA MASKINI ....
Mama Samia awe makini sana kuteuwa yeyote kwenye genge hilo kama makamu wa rais kwakua kitakachomfuatia ni kumuondoa yeye ili makamu wa rais [genge /ukanda ] atawale ....
Waliopanga hii ratiba ya msiba wametumiwa na genge bila kujijua kwa ajenda ya siri ya kuleta ...mfumuko wa kimapinduzi kati ya kundi la maskini ambalo wanalijengea mazingira kuwa LIMEFIWA na kundi la wenye afadhali [wenye nacho] ....revoultion throuh class struggles !! Populism Strategy !! hizo ni siasa zenye road map pattern ya BASHIRU na POLE POLE wakisadiwa na wengine kama kina dr KITILA MKUMBO kwa tunaojua kusoma miandiko kinteligensia tushaona ....ukiwa deep pakitokea jambo unaangalia style iliyoyumika unajua archtect ..sio kila mtu anaweza kubaini , but watch this space !!
Tangu lini maiti izunguswe siku tano .......hata huyo Mwalimu Nyerere alilala uwanja wa Taifa then Butiama , huyu angelala JAMUHURI then CHATO ....wanapika zengwe ...na chunguzeni IDARA YA UENEZI CCM inaingia vipi msiba wa kitaifa kuanza kuambia viongozi wa mashina wasombe watu wapelekwe msibani ? hiyo imefanyika kote Dar [imeleta maafa] na hata Mwanza , DODOMA etc ....waache hizo movement za kumtengenezea mama tention ashindwe kutawala ....... wanataka kuteka kundi la " maskini " na kanda nyara ili walitumie kumsumbua mama ...awape wanachotaka kwa kigezo cha kuwatuliza alafu wammalize...
Wabobezi kuweni makini na hii slowly staged coup d'tat ..kwanza kuna kila indications za mapinduzi kupangwa baada ya kuonekana Magufuli hawezi kupona ....
Tuwapongeze TPDF kwa kuzuia ,lakini lazima kuna watu wanatakiwa kushtakiwa uhaini hata kama ni ndani kwa ndani ...
 
Screenshot 2021-03-23 at 13.28.06.png

Tayari Watu Fulani Wanaanza Kujinasibu kuwa Wao ndio watabeba ndoto ya kutetea Wanyonge ( Misukule) ;
 
Lissu alitgemea msiba umpe umaarufu wa kisiasa yeye kumbe utamuacha mfu wa kisiasa anaye ishi, kutembea na kupayuka payuka
 
Huu ndo ukweli mchungu kiongozi, lazima mtu uangalie kwa jicho lingine.
Sitaki kuamini huyo mzee wa energy na wengine siku alipofariki/atakapofariki mama/baba yake atatoa machozi hivyo.
Na ukiona mtu anachekelea saaana, ujue pia huyo ndio mchawi mkubwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom