Fadhilim
JF-Expert Member
- Feb 3, 2013
- 362
- 303
Huu ndo ukweli mchungu kiongozi, lazima mtu uangalie kwa jicho lingine.Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Sitaki kuamini huyo mzee wa energy na wengine siku alipofariki/atakapofariki mama/baba yake atatoa machozi hivyo.