Huu ndo ukweli mchungu kiongozi, lazima mtu uangalie kwa jicho lingine.Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Andaeni na ajenda kabisa Mwaka 2025 muwaambie watanzania kwenye Msiba mulijaza nyomi.Wapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!
Si mlileta siasa maji taka, sie tunawaletea siasa safi! Na huko mlikokuwa mnamchafua Magufuli nao wanafuatilia yote ili na wao waanze kuwasuta kwa upuuzi mliokuwa mnaharisha kupitia matundu yenu mfyuuuuuu!
Kuna aliyebisha !!!Waache tu wafanye wanavyotaka. Ila mwisho wa siku, marehemu atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele! na maisha yataendelea kama kawaida.
Acha hayo! Iite nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe!Andaeni na ajenda kabisa Mwaka 2025 muwaambie watanzania kwenye Msiba mulijaza nyomi.
Kinacho fanyika sasa ni maonesho! Jambo ambalo si sahihi kwa marehemu na pia familia yake. Alitakiwa aagwe sehemu mbili tu! Alipofia (Dsm) na anako zikiwa (Chato)!Kuna aliyebisha !!!
unaonea wivu maiti
Mwanaume wa Dar katika ubora wake!! 😇Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Kama Ruge na Mengi walivuta Nyomi hivi hawa CCM walitegemea nini kwa Rais wa nchi. Au hawakutegemea haya baada ya yale yaliyoendelea kwenye uchaguzi .... Watanzania wanahuruma sana na wana hofu ya Mungu!!Habarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Shujaa wa corona.Wapinzani uchwara tulieni msutwe na watanzania! Tulieni tumuenzi shujaa wetu! Shuhudieni mliyemwita 'dictator' anavyoheshimishwa na kupendwa na watanzania! Donde hilo lazima liwakwame tu hamna jinsi!
Si mlileta siasa maji taka, sie tunawaletea siasa safi! Na huko mlikokuwa mnamchafua Magufuli nao wanafuatilia yote ili na wao waanze kuwasuta kwa upuuzi mliokuwa mnaharisha kupitia matundu yenu mfyuuuuuu!
Pumzika kwa amani shujaa wetu Magufuli!
Ulipendwa na kukubarika mwana mwema wa Africa[emoji24]!
Mbona umechelewa sana kujua !Habarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Lissu hawi rais Sawa, ila pia babu yenu hainuki tena funza wanamfaidi tangu juzi.Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngooooo
Kosa Lao ni nini??Wilayani Mpwapwa watu walikuwa wanabebwa kwenye magari waende mjini
Na ukiona mtu anachekelea saaana, ujue pia huyo ndio mchawi mkubwaHuu ndo ukweli mchungu kiongozi, lazima mtu uangalie kwa jicho lingine.
Sitaki kuamini huyo mzee wa energy na wengine siku alipofariki/atakapofariki mama/baba yake atatoa machozi hivyo.