Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngooooo
[emoji106][emoji106][emoji106]Kama Ruge na Mengi walivuta Nyomi hivi hawa CCM walitegemea nini kwa Rais wa nchi. Au hawakutegemea haya baada ya yale yaliyoendelea kwenye uchaguzi .... Watanzania wanahuruma sana na wana hofu ya Mungu!!
Hats sisi mtaani kwetu kibaka tumjuae akifariki tunajaa nyumbani kwake hata kama aliwahi kukuibia, huwa hatususi maiti.Habarini wanajukwaa!!
Tukiwa tunaendelea na maombolezo ya kifo cha Aliekua Rais wa JMT Hayati John P. Magufuli naona sasa hivi Musiba unataka kuwa kama kampeni za siasa yani kuna kundi linakaa linasifia mnaona NYOMI hatukatai museme hio NYOMI lakini inaonyesha dhahiri kabisa kauli hii imeanza kutumika kama siasa, kuwa nanga wapinzani eti Rais Magufuli alikua anapendwa tofauti na wao walivyokua kua wanasema.
Nikumbushe tu yule aliefariki ni RAIS tena wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania(JMT)sio KIBAKA Wa Mtaani na kifo chake kimeshitua wengi hata waliokua hawampendi wameguswa ndio maana wanaenda kuangalia wasiamini kama ni kweli kafariki, pia ijulikane Kifo hakijawahi zoeleka kinauma hata kama mtu ulikua humpendi akifariki lazima uumie kwa sababu kila mtu ashawahi kupatwa na msiba kwa hio anapofariki mtu yeyote unaemfahamu utaguswa tu hata kama Adui yako.
Hebu niwaombe tuache kufanya siasa kwenye hili swala.
Ni kweli kuna mkakati wa siri. Huwezi kutesa marehemu na wafiwa kwa kumtembeza marehemu kwa siku tano!SIO MKAKATI WA CCM YOTE BALI NI MKAKATI WA GENGE WALIOTAKA "KUMPINDUA" MAMA SAMIA WAKASHINDWA ...SASA WANAIFANYA MAITI YA MAGUFULI KUIZUNGUSHA ILI KUTENGENEZA HISIA KWA KUNDI LA "WANYONGE`' AMBAO WAMEKUWA WAKIWAFANYA MISUKULE YAO KISIASA KAMA WATETEZI WA WANYONGE ......LENGO NI KUMPA MAZINGIRA MAGUMU SAMIA KUTAWALA...WAKILAZIMISHA WAWEMO KWENYE NAFASI MUHIMU KWA KIGEZO WANABEBA NDOTO ZA MAREHEMU KAMA MTETEZI WA MASKINI ....
Mama Samia awe makini sana kuteuwa yeyote kwenye genge hilo kama makamu wa rais kwakua kitakachomfuatia ni kumuondoa yeye ili makamu wa rais [genge /ukanda ] atawale ....
Waliopanga hii ratiba ya msiba wametumiwa na genge bila kujijua kwa ajenda ya siri ya kuleta ...mfumuko wa kimapinduzi kati ya kundi la maskini ambalo wanalijengea mazingira kuwa LIMEFIWA na kundi la wenye afadhali [wenye nacho] ....revoultion throuh class struggles !! Populism Strategy !! hizo ni siasa zenye road map pattern ya BASHIRU na POLE POLE wakisadiwa na wengine kama kina dr KITILA MKUMBO kwa tunaojua kusoma miandiko kinteligensia tushaona ....ukiwa deep pakitokea jambo unaangalia style iliyoyumika unajua archtect ..sio kila mtu anaweza kubaini , but watch this space !!
Tangu lini maiti izunguswe siku tano .......hata huyo Mwalimu Nyerere alilala uwanja wa Taifa then Butiama , huyu angelala JAMUHURI then CHATO ....wanapika zengwe ...na chunguzeni IDARA YA UENEZI CCM inaingia vipi msiba wa kitaifa kuanza kuambia viongozi wa mashina wasombe watu wapelekwe msibani ? hiyo imefanyika kote Dar [imeleta maafa] na hata Mwanza , DODOMA etc ....waache hizo movement za kumtengenezea mama tention ashindwe kutawala ....... wanataka kuteka kundi la " maskini " na kanda nyara ili walitumie kumsumbua mama ...awape wanachotaka kwa kigezo cha kuwatuliza alafu wammalize...
Wabobezi kuweni makini na hii slowly staged coup d'tat ..kwanza kuna kila indications za mapinduzi kupangwa baada ya kuonekana Magufuli hawezi kupona ....
Tuwapongeze TPDF kwa kuzuia ,lakini lazima kuna watu wanatakiwa kushtakiwa uhaini hata kama ni ndani kwa ndani ...
Chuki za Kimaskini, wewe una utajiri gani ndugu yangu muda huu upo huku unaandika vijembe, sio kila anayekosoa kitu ana roho ya Kimaskini au ni mfuasi wa Lissu na CDM, watu wanashauri maana haileti picha nzuri, JPM alikuwa ni Rais wa TZ.Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngooooo
Wala hawezi kuviachia hivyo alivyoshika!! Hii ni movie ya kibongo, jambazi anavamia nyumba ya mtu afu anavua viatu.😀😇Ukiona Mtu Analia sana kwa uchungu jua kina vitu viwili ...
Either kafurahi sanaaa ,( ndoa mtu akiolewa hutililika machozi ya furaha)
Au anahuzunika sanaa..
ila swala LA jiwe watu wanalia kwa furaha ,huku wakijipoza na maji ya Kilimanjaro ya baridi na azam energy huku wakilia kuondoka kwa huyu jamaaaView attachment 1731822
Ni kweli kuna mkakati wa siri. Huwezi kutesa marehemu na wafiwa kwa kumtembeza marehemu kwa siku tano!
Hawa watu ni waovu. Wanaajenda wanayotaka kuachieve kupitia tukio hili. Which is unethical!
Hoja ya mtoa mada ya Lissu kuwa Rais wapi na wapi? Taga unachekesha sana.Watu wanaoichukia ccm wanaish maisha ya tabu snaa.na wataish maisha hayo mpaka hii nchi inaingia kaburini.sabab ccm kutoka madarakan ni ndoto ...kwahyo komaen hvyo hvyo na chuki za kimaskin...ila lisu hawi rais ngooooo
Kweli wew hamnazoAcha hayo! Iite nyeusi nyeusi na nyeupe nyeupe!
Nimekusamehe! RIP our hero Magufuli 🙏🙏🙏!Kweli wew hamnazo
Shujaa wa Africa👇
UmenenaPolitics over a dead body. "maiti inapelekwa ilipo nyomi". Hata hivyo kuna sababu kubwa mbili kwa nyomi tunayoiona:
1: Kuna watu waliokuwa wanampenda na wamesikitishwa na kifo chake.
2: Kuna watu walioumizwa naye na wanataka kuhakikisha kweli kafa.
unajiuliza ni msiba au kampeni. Kabudi ndio kinara
Majaliwa kasema msiba umeangaliwa na watu 3.9 billion
Mkuu hata katika familia yako nadhani unabana bajeti ili kufanikisha jambo fulani la kimaendeleo, unataka starehe wakati unajua uwezo wako ni wa mlo mmoja embu tuache mawazo finyu watz
Yaani unataka mama Samia asitumie remote kutoka Msoga halafu hapo hapo unataka atumie remote kutoka Chato!Ndugu zangu,
Niseme tu ukweli, mama ni kama vile nilikuwa siamini kama atafuata nyayo za mwamba, ila kwa hotuba yake ya leo Dodoma, inaakisi uwejo wa JPM ndani yake na inanipa tumaini ya kuona maono aliyokuwa nayo JPM kutekelezeka na inawezakana ikawa zaidi ya hapo.
Maombi yangu kwa mama yetu, ajihadhari sana na remote control kutoka Msoga na lile genge la ccm maslahi binafsi that's fadhira oriented. Akiruhusu genge hili likawa karibu naye, watu tutaanza kummiss JPM mapema sana.
Kauli yake hii, imenipa tumaini ukweli na hofu niliyokuwa nayo kuanza kupungua.
Wale mlio kuwa na wasi wasi mama amesema, "Kwa wale mliokuwa na Mashaka, mwanamke huyu ataweza kuwa rais wa Tanzania! Nataka niwaambie Aliye simama hapa ni Rais wa JAMUHURI ya MUUNGANO wa TANZANIA" ~ Mh Samia Hasan Suluhu.
Mama yetu kaza, tena nenda speed ya supersonic, ili utufute machozi.
All the best mama yetu
Kejuu
Halafu walipotoa details ni kwa mtu alie na followers600 hajathibitishwa kwenye utaftaji takwimu wa aina yoyote na hana taasis iliyosajiliwa hii nchi bhanaukisikia mtu mzima kuingizwa chaka makusudi au bahati mbaya ndio hiii
kama TBC
ahaaaa yaani 2/3 ya dunia walifuatiliaa
Washaanza kujitenga wanataka kuunda team ndani ya chama chaoView attachment 1732425
Tayari Watu Fulani Wanaanza Kujinasibu kuwa Wao ndio watabeba ndoto ya kutetea Wanyonge ( Misukule) ;