TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
20210323_094130.jpg

20210323_094200.jpg
20210323_094217.jpg
 
Tufanye yote ila tujue bila kushikamana hatutakuwa na Tanzania imara, hebu yaliyopita si ndwele tugange yajayo.

Pumzika kwa amani JPM
 
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa....
Hivii ww ndo ungekuwa TL upigwe risasi, unyimwe haki ya matibabu, uvuliwe ubunge na hakina hatua yoyote iliyochukuliwa dhidi ua waliokupiga risasi,, ungeumia mhaini wako kufaaaa?

R.I.P JPM
 
hawajui kesho yao itauwaje,wameshaonja asali hao
Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel...
 
Kweli ushamba mzigo
Mara baada ya waziri mkuu msitaafu Edward Lowasa kujiunga na kuinunua Chadema ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za kiharakati na kushauri siasa hizo hazina tija kwa sasa. Edward Lowasa alionya kuwa Chadema lazima igraduate kutoka chama cha kiharakati hadi kuwa chama cha siasa sasa...
 
Niseme katika wanaccm walioonyesha kuumizwa na kuhuzunishwa kwa kiwango cha juu na msiba wa hayati Magufuli nikiwemo mimi mwenyewe ni RC Chalamila, DC Ole sabaya na NW wa afya Dr Mollel...
Wazalendo wa kuiba na kutunza wake za watu[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Na ukiona mtu anachekelea saaana, ujue pia huyo ndio mchawi mkubwa
Huwezi kusema ni mchawi mkubwa wakati chanzo cha kifo kimebainishwa.

Vinginevyo hao wengine wanaagiza vilio ukute hata machozi hayatoki.

Sasa kwa akili ndogo tu unawaza kulia na usitoe machozi kwa jambo lililokugusa?
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu amesema sababu ya kifo cha Rais itakuwa ni kudukuliwa kwa mfumo wa umeme mwilini na siyo vinginevyo.

Hivyo Tundu Lisu anakubaliana na taarifa rasmi ya serikali kwamba Rais Magufuli amefariki kutokana na matatizo ya moyo.

Nadhani Bavicha mmemuelewa boss wenu anayeishi Ulaya.
 
Nilidhani umeshakufa kumsindikiza rafki yako. Kumbe ni maneno tu, kufa umfuate si unampenda kulko chochote
 
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu amesema sababu ya kifo cha Rais itakuwa ni kudukuliwa kwa mfumo wa umeme mwilini na siyo vinginevyo.

Hivyo Tundu Lisu anakubaliana na taarifa rasmi ya serikali kwamba Rais Magufuli amefariki kutokana na matatizo ya moyo.

Nadhani Bavicha mmemuelewa boss wenu anayeishi Ulaya.
Wewe ni muongo kama CCM wengine wote. Weka hapa maandishi ya TL akisema hayo.
Hivi nyinyi CCM mna unasaba na yule baba wa uongo - Ibilisi/Shetani!!!??!
Mbona mu waongo kupindukia!!??
Mbona mu waongo kuliko hata baba wa uongo!!??
 
Wewe ndio uko nyuma kweli kimawasiliano.

Bavicha wenzio watakucheka!
 
SIO MKAKATI WA CCM YOTE BALI NI MKAKATI WA GENGE WALIOTAKA "KUMPINDUA" MAMA SAMIA WAKASHINDWA ...SASA WANAIFANYA MAITI YA MAGUFULI KUIZUNGUSHA ILI KUTENGENEZA HISIA KWA KUNDI LA "WANYONGE`' AMBAO WAMEKUWA WAKIWAFANYA MISUKULE YAO KISIASA KAMA WATETEZI WA WANYONGE ......LENGO NI KUMPA MAZINGIRA MAGUMU SAMIA KUTAWALA...WAKILAZIMISHA WAWEMO KWENYE NAFASI MUHIMU KWA KIGEZO WANABEBA NDOTO ZA MAREHEMU KAMA MTETEZI WA MASKINI ....
Mama Samia awe makini sana kuteuwa yeyote kwenye genge hilo kama makamu wa rais kwakua kitakachomfuatia ni kumuondoa yeye ili makamu wa rais [genge /ukanda ] atawale ....
Waliopanga hii ratiba ya msiba wametumiwa na genge bila kujijua kwa ajenda ya siri ya kuleta ...mfumuko wa kimapinduzi kati ya kundi la maskini ambalo wanalijengea mazingira kuwa LIMEFIWA na kundi la wenye afadhali [wenye nacho] ....revoultion throuh class struggles !! Populism Strategy !! hizo ni siasa zenye road map pattern ya BASHIRU na POLE POLE wakisadiwa na wengine kama kina dr KITILA MKUMBO kwa tunaojua kusoma miandiko kinteligensia tushaona ....ukiwa deep pakitokea jambo unaangalia style iliyoyumika unajua archtect ..sio kila mtu anaweza kubaini , but watch this space !!
Tangu lini maiti izunguswe siku tano .......hata huyo Mwalimu Nyerere alilala uwanja wa Taifa then Butiama , huyu angelala JAMUHURI then CHATO ....wanapika zengwe ...na chunguzeni IDARA YA UENEZI CCM inaingia vipi msiba wa kitaifa kuanza kuambia viongozi wa mashina wasombe watu wapelekwe msibani ? hiyo imefanyika kote Dar [imeleta maafa] na hata Mwanza , DODOMA etc ....waache hizo movement za kumtengenezea mama tention ashindwe kutawala ....... wanataka kuteka kundi la " maskini " na kanda nyara ili walitumie kumsumbua mama ...awape wanachotaka kwa kigezo cha kuwatuliza alafu wammalize...
Wabobezi kuweni makini na hii slowly staged coup d'tat ..kwanza kuna kila indications za mapinduzi kupangwa baada ya kuonekana Magufuli hawezi kupona ....
Tuwapongeze TPDF kwa kuzuia ,lakini lazima kuna watu wanatakiwa kushtakiwa uhaini hata kama ni ndani kwa ndani ...
Noted..!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom