KALIMIMBILI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2021
- 205
- 362
Sifa za kijinga sasa basi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gavana umesema Uongo. Roho Mtakatifu/Roho wa Mungu katajwa sehemu nyingi. Agano Jipya takribani mara 90.
Mwanzo 1:2 Roho wa Mungu aliatamia giza lililo kuwa juu ya maji yaliyo ifunika nchi kuonesha kile kikichoatamiwa kilikuwa kitakatifu. Alimuingia Mariamu Mama wa Bwana Yesu kuonesha mimba ile na kilichoko tumboni mwake ni Kitakatifu.
Sauli Mfalme wa kwanza wa Israel baada ya Taifa hilo kuongozwa na Waamuzi alingiwa na Roho Mtalatifu akacheza kama manabii aliokutana nao wakati anatoka kupakwa mafuta akirudi nyumbani kwa baba yake kutoka kuwatafuta punda waliopotea kutimiza mpango wa Mungu juu ya Sauli. Hii inaonesha Manabii wa kweli wa Mungu acha akina balamu walikuwa wamejazwa Roho w a Mungu.
Kusema kweli ukitafakali Hannah mama wa kuhani Samweli naye alijawa na Roho Mtakatifu. Kama utaunganisha maneno yale yaliosemwa siku ya Pentekosti kwamba wamelewa mvinyo mpya asubuhi. Eli alimtuhumu Hannah kuwa kalewa asubuhi asijue kuwa alijawa Roho wa Mungu na aliye muongoza kufanya maombi kwa kuugulia 1Samweli 1 na Matendo 2. Kimsingi hii mistari uliyo inukuu ya Yohana ilitimilizwa hapo Matendo 2.
Mkristo aliye mkubali Bwana Yesu, Akatubu dhambi zake aka Batizwa na kuwekewa mikono na Mtumishi wa kweli wa Mungu jua fika ana Roho wa Mungu ndani yake.
Ni kuulize Gavana huyo Mtume ambaye shetani na mawakala wake hudanganya wafuasi wa imani hiyo kwa kutumia nukuu za Mistari ya Biblia kuhusu Roho Mtakatifu. Je alikuwa ndiye àliye kuwa akiatamia juu ya maji wakati wa uumbaji? Je ndiye aliye atamia mimba ya Bwana Yesu tumboni mwa Mariamu mamaye Yesu? Jibu ni rahisi hapana. Ndio uone shetani alivyo baba wa uongo na hata mawakala wake walivyo waongo na wapotoshaji wa Neno la Mungu/Biblia. Wamewadanganya wengi kwa mamilioni ha kakika wameishia na wataendelea kuishia motoni kama Neema na Rehema za Mungu hazitafungua akili zao na kuamua kufuata njia sahihi na kuachana na hii njia ya uongo.
Kinachotokea kufanya kutokuona kujidhihirisha kwa huyo Roho wa Mungu ni dhambi za baadhi ya wa Kristu. Ukitenda dhambi unamuhuzunisha Roho wa Mungu hivyo hawezi kujidhihirisha nackuonesha nguvu na uweza wake.
Hili la Biblia kuwa ziko matoleo mengi nilikuambia huko nyuma wale wasiku ya Pentekosti walipojawa Roho Mtakatifu walishuhudia matendo ya Mungu kwa lugha za mataifa yote ya Dunia. Usitegemee Biblia ya kufanana Nenobkwa Neno angalia maudhui ya mstari husika.
Kumbumbuka hili shetani ni baba wa uongo wote. Hivyo hivyo mawskala wake huko mitandaoni unako nukuu haya maandishi yako. Jeepushi na uwakala wa shetani maana hatima yako itakuwa lile tanuri liwakalo moto milele yote/jehanamu.
mimi ni mwongo , kama unavyosema ,
Hivi unaweza kuniambia Bwana Yesu alimtaja Roho Mtakatifu kwa jina gani kwa KIGIRIKI ?? ambayo ndiyo lugha ya asili iliyoandikwa agano jipya
Hivyo ndiyo ilivyoandikwa Roho mtakatifu kwa kigiriki?Lugha za asili za Biblia Agano Jipya inclusive. Hebrew, Aramaic and Koine Greek. Shetani ni Baba wa uongo wote hivyo vivyo mawakala wake.
Hivyo ndiyo ilivyoandikwa Roho mtakatifu kwa kigiriki?
Tumekusikia, sasa tuambie roho mtakatifu alivyoandikwa kwenye biblia ya kigirikiUsichukulie vitu jumla jumla. Koine Greek.
Na kukumbusha tena Bwana Yesu aka Mungu pamoja nasi wanadamu. Aliye zaliwa na Bikira Mariaum akaja kuishi nasi alisma hivi. Ili uone ufalme wa mbinguni utaratibu ni huu.
Umkubali kwa kusikia Neno lake (Uwe na Imani kwake) then Utubu dhambi zako then Ubatizwe kwa maji na kwa Roho Mtakatifu. Hamna njia mbadala ya huu utaratibu.
Mkuu Gavana na Shehullohi ,mnaonaje mjadala wenu mkauhamishia Jukwaa la Dini!!??Tumekusikia, sasa tuambie roho mtakatifu alivyoandikwa kwenye biblia ya kigiriki
halafu nani atajibu kesi za mauaji kwa Mungu,kufa wewe ukamjibie akiwa kapumzikaApumzike kwa amani JPM
Umeniwahi mkuu nilikua njiani kuuliza, kuna nini, au ndio Mtupoli kafufuka..Mkuu Gavana na Shehullohi ,mnaonaje mjadala wenu mkauhamishia Jukwaa la Dini!!??
Kuna kitu cha kujifunza kutoka kwenu ,ila sasa mjadala upo sehemu isiyo sahihi.
Mbarikiwe.
Pneuma=Paraclete=Advocate= Holy Spirit=Holy Ghost=Spirit of God=Roho wa Mungu=Roho Mtakatifu=Roho wa Bwana Yesu/Kristo= Roho wa Uzima.Tumekusikia, sasa tuambie roho mtakatifu alivyoandikwa kwenye biblia ya kigiriki
Mbona umechanganyikiwa? Au chote ni kigiriki hicho?Pneuma=Paraclete=Advocate= Holy Spirit=Holy Ghost=Spirit of God=Roho wa Mungu=Roho Mtakatifu=Roho wa Bwana Yesu/Kristo= Roho wa Uzima.
Mbona umechanganyikiwa? Au chote ni kigiriki hicho?
Niwekee roho mtakatifu kama ilivyoandikwa kwenye biblia ya kigiriki
Kwa hivyo chote ni kigiriki?Mngwini kachanganyikiwa/kachanganywa na alama ya ni sawasawa na(=)
Ptoverbs 26:5Kwa hivyo chote ni kigiriki?
Roho mtakatifu kwa kigiriki anaitwaje?
Wacha kujitia wazimu
Hivyo ndivyo anavyoitwa Roho Mtakatifu kwa Ki greek???Ptoverbs 26:5
Give a silly answer to a silly question, and the one who asked it will realize that he's not as clever as he thinks.
Anaitwa Gavana.
Hivyo ndivyo anavyoitwa Roho Mtakatifu kwa Ki greek???
Roho mtakatifu ndivyo anavyoitwa hivyo kwa kigiriki?Hivi ndivyo lijibiwavo swali la kijinga.