Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona anafanyia kazi maneno yako mkuu.Samia Suluhu akiwa kama Rais ajae, ana uwezo wa kuturudisha kwenye nchi ya maziwa na asali au kuendeleza ubabe wa toka 2015.
Afufue uchumi uliosinyaa na kuleta sera nzuri zenye kuleta ustawi na mshikamano wa taifa letu. Palipo vunjika aunganishe, walioumizwa wapewe faraja.
Pia tusidhihaki wapakwa mafuta.
JPM apumzike anapostahili.
Uzalendo!Pumzika JPM, bado tupo tunaoamini juu ya uzalendo wako ...
PumbafuHii siku ilikuwa ni ya furaha kwangu kama siku niliyopata mtoto wa kwanza aisee
Tukana utakavyoweza Ila ndio wenzenu tunaendelea na sherehe uzuri wake ameshaoza wewe bado unatukana tu. Fikiria namna utakavyorudi kijijini kwenu mkachunge mbuziPumbafu
mkuu hatimaye nchi imepumuaHii siku ilikuwa ni ya furaha kwangu kama siku niliyopata mtoto wa kwanza aisee
ni mtu aliyekuwa anacheza na maisha ya watuHii siku sitaisahau katik maisha yngu tumepoteza mtu mhimu sana
Balaa tupuDah! Kafariki???
😭 😭 😭Balaa tupu
Hahaaaaaa...Hiyo Tanzia ingetolewa, nimeshtuka hapa nikajua JPM amefariki tena.
Kwendaaaaaaaaaaa umepoteza wewe, siyo mimi! Yani hata unyoya haukujigusa zaidi ya kukeshea starehe siku hiyo!Hii siku sitaisahau katik maisha yngu tumepoteza mtu mhimu sana