TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Kwenda zako huko. Kamlilie na shangazi yako. Nyie ndio mlikuwa wale enablers and enforcers wake! Mashetani wakubwa! Kama hujui, this was personal na ndio ukome ibilisi wewe.

Hakuna shetani na ibilisi zaidi ya wewe uliyejawa na roho ya Iskarioti
Kaondoka Magufuli mmoja ila amezalisha Magufuli milion40
Sasa ndio utajua hujui
 
Mega-fool deserved to die in such a shameful way because of his barbaric attitude towards Covid-19. Let his soul be tortured in eternal fire .
Idiot, hasira zote hizo za nini wewe.
Inaonyesha Magu alikupelekea moto mbaya.

Lazima wewe ulikuwa fisadi, ama cheti feki, huwezi kuwa na akili matope kiasihicho.
 
Hakuna shetani na ibilisi zaidi ya wewe uliyejawa na roho ya Iskarioti
Kaondoka Magufuli mmoja ila amezalisha Magufuli milion40
Sasa ndio utajua hujui
Usi waze kuhusu hawa wachumia tumbo makelele yao na hasira za hovyo zinaishiaga humuhumu.

Huko nje mitaani Magufuli ana heshimika na mamilioni kwa uwazi bila kificho.
Hawa wanajaribu kumchafua humu ila hawanauwezo wakupaza sautizao nje ya mitandaokusema maneno yahovyo kiasihicho wanajuwa kitakacho tokea kwa wananchi.

Hataivyo tangu siku Mama alivyosema yeye na Magu ni kitukimoja wana lala na viatu mbaka leo.
 
Ni wkt muafaka sasa ijulikane hatma ya Ben Saanane,Azory Gwanda na Meya Kanguye wa Kigoma!
Nina uhakika ipo siku tutajua nn kiliwapata hawa watu
 
Ni wkt muafaka sasa ijulikane hatma ya Ben Saanane,Azory Gwanda na Meya Kanguye wa Kigoma!
Nina uhakika ipo siku tutajua nn kiliwapata hawa watu
Kwenye dini ya uislamu kwa wanaoamini, kuna madhambi makubwa mazito.

1. Shirki - Kumuamini asiyekuwa Allah
2. Kuua - Nafsi ambayo haipaswi kuuliwa
3. Zinaa

Sasa hii namba 02 itawatesa wauaji sana mbele ya Allah
Kutoa uhai wa mwanadamu ambaye ni innocent.Naamini watakuja kujijutia waliofanya mauaji kwa namna moja au nyingine.
 
Hiki kifo bado nawaza niandikeje neno la kuagana na huyu Mheshimiwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…