Heading bado iko sawa, Kwa kile alichokusudia kutuambia.Nafikiri heading ilipaswa iwe The last moment of J.J Pombe Magufuli
Umeshaungwa kwenye uzi mwingine.Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Sawa mkuuHeading bado iko sawa, Kwa kile alichokusudia kutuambia.
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.

[emoji23][emoji23]ndo maana nimecheka aseeKasimuliwa vipande vipande naye anatuletea vipande vipande.
Kwa mtu ambaye ameshawahi shuhudia "Mchakato wa kufa" kwa mara kadhaa wa kadhaaa ........
Et alivomaliza ,akajifunika, akalala, hakuamka tena[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hizi story zilikiwepo anatuletea leo tena. Amelala yoohKasimuliwa vipande vipande naye anatuletea vipande vipande.
Kwa mtu ambaye ameshawahi shuhudia "Mchakato wa kufa" kwa mara kadhaa wa kadhaaa ........
Et alivomaliza ,akajifunika, akalala, hakuamka tena[emoji23]
Praise team.Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
[emoji23][emoji23][emoji23] Mzena jamani. Na rais alivyokua private vile. Atuambie kama yeye ni yule bodygiard black maana na yeye tunaelezwa walifichwa taarifa kwanzaKwamba ulikua peke yako tu hiyo siku ya tar 17 March ukishuhudia hayo? Unakumbuka uliyashudia hayo yote tarehe hiyo? Mbona zipo version nyingi sana za hilo tukio, unaweza kuthibitisha hii yako ndio yenyewe?
fact miss Pablo hua nakubali Kwa akili zako timamu mkuu umetoa Somo zuriSukuma gaaang on the beaaatt
Jinsi ambavyo munajisikia yatima sasa hivi ndo hivyohivyo na sisi tulikua tukijisikia yatima enzi zake. Jikazeni..
Amelala yooh
Ila kuna miradi yake heshima yake apewe. Lkn msitulazimishie legacy. Acha zijiseme zenyewe. Iko miradi mingi tu mizuri ilifanywa na marais wengine zaidi yake pia. Hatupendi lazimishwa. Yajitangaze yenyewe. Kwanza ni kodi zetu. No favour. Unakua kiongozi kwakua uliomba mwenyewe kutuongoza na siyo sisi tulikutuma. So siyo favour. Watanzania muache ujinga wa kuona kufanyiwa vitu na serikali kama vile ni favour. Its our right
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Haya maneno aliyasema Bwana Ngusa Samike,aliyekua mnikulu kipindi cha Magufuli,pia alikua msemaji wa Serikali! Pia katika wosia wa Magufuli,kuna mambo matatu alisema! Mawali waliyakumbuka wana familia,na waliyasema pale msibani,neno la tatu walisahau,je unaweza tuambie ni neno lipi kama ulikuwepo??Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Kwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
Kwisha zake huyo muuaji wa Saanane na wengine. Aliwatesa Watanzania bila sababu. Bora kafia mbali kabisaKwetu sisi tulioishuhudia tarehe 17/3/2021 tukiwa ubavuni mwa hayati rais Magufuli ilikuwa ni siku ya giza nene na simanzi nzito sana. Tulihisi dunia inaanguka.
1. Siku hiyo asubuhi hayati Magufuli alituita na kutuambia tumtegemee Mungu na tuwafukishie ujumbe watanzania wote kuwa waendelee kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
2.Hayati Magufuli akiwa amezungukwa na manesi na madaktari alianza kuimbisha nyimbo na baadae akaongoza sala ya kitubio.
3. Alimpigia simu padri wa kanisa la st peter's na alipofika alimwongoza sala na kumpatia mpako mtakatifu.
4. Alimpigia simu mufti mkuu shehe Zuberi na alipofika waliongea kidogo na baadae akamuomba amwombee alale salama na mufti alifanya hivyo kwa utulivu mkubwa.
5. Alimpigia simu Kardinali Pengo na kumwambia maneno yafuatayo," Nilitamani kuiona Tanzania mpya lakini kwa hali yangu sitaweza kuiona.
6. Alimpigia na kumpa dokezo CDF Mabeyo.
7. Baada ya hapo alijifunika shuka akalala na hakuamka tena.
Hakika hayati Magufuli alikuwa na mwisho mwema sana hapa duniani ambao wengi hawatafanikiwa kufa kifo hicho.
NB. Kwa wasiojua Magufuli alikuwa jasiri hata mbele ya kifo kiasi cha kupata nguvu ya kuimbisha nyimbo.!
sasa hivi mnaendeleaje baada ya magufuli kufa?Sukuma gaaang on the beaaatt