Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Mkuu hauwezi kuelewa kitu, mtu anaweza asiwe wa thamani kwako ila kwa wengine akawa wa maana sana na siku zote msiba huwa ni kwaajili ya watu fulani wa karibu.Kwamfano Leo hii mzazi wako akifa kiwango chako cha machungu hakiwezi kuwa sawa na mimi, na wala hata hizo nguvu za kucheka kama hivi hautazipata.hahahahaha sema ukweli yaani ndoto zako zilikufa na mwendazake?
Sicheki Kwa mazuri ila imenisikitisha Sana mkuu kusema ukweli aliondoka na ndoto za wengi yule Mwamba nyingine ni ndoto za kutisha kiasi kwamba unaweza jikojolea kitandani aiseeee daaa!
Yes ndoto zangu zilikatishwa kwa kifo chake, zile siku watu wanazusha habari za kifo chake nilikuwa ni mtu wa stress kwakua sikuweza kupata hata chembe ya upenyo wa neno kutoka kwake kama ulivyokuwa kawaida yake.
Kwangu mimi ni kama amefariki jana tu.