TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
hahahahaha sema ukweli yaani ndoto zako zilikufa na mwendazake?

Sicheki Kwa mazuri ila imenisikitisha Sana mkuu kusema ukweli aliondoka na ndoto za wengi yule Mwamba nyingine ni ndoto za kutisha kiasi kwamba unaweza jikojolea kitandani aiseeee daaa!
Mkuu hauwezi kuelewa kitu, mtu anaweza asiwe wa thamani kwako ila kwa wengine akawa wa maana sana na siku zote msiba huwa ni kwaajili ya watu fulani wa karibu.Kwamfano Leo hii mzazi wako akifa kiwango chako cha machungu hakiwezi kuwa sawa na mimi, na wala hata hizo nguvu za kucheka kama hivi hautazipata.

Yes ndoto zangu zilikatishwa kwa kifo chake, zile siku watu wanazusha habari za kifo chake nilikuwa ni mtu wa stress kwakua sikuweza kupata hata chembe ya upenyo wa neno kutoka kwake kama ulivyokuwa kawaida yake.

Kwangu mimi ni kama amefariki jana tu.
 
Kifo cha Hayati Magufuli litaendelea kuwa somo kwa sisi wanadamu haswa wale wenye, pesa na madaraka ya juu na ya chini....
Pia ni somo zuri sana kwa watu walio kuwa wanamtegemea kuliko hata walivyokuwa wanamuabudu Mungu.
 
JPM alikuwa ni aina ya Rais ambaye hii Tanzania na nchi nyingi za kiafrika inawahitaji.

R.I.P Mzee wetu kila nikifika Chato natamani kulia, ndoto zangu zilikatishwa ghafla na kifo chako.
Wati wa Chatu wote mliahidiwa maisha mazuri na 'mungu' wenu, ila Ndiyo hivyo MUNGU aliye hai akafanya yake
 
Mkuu hili natumai ilikuwa Ni taarifa rasmi iliyoratibiwa na Wahusika maalumu kuwatoa hofu Watanzania.Ukweli mchungu Kifo hakina protocol ya kisiasa namna hiyo. Walisahau kuweka wanafamilia na marafiki zake wa karibu.Any way apumzike kwa Amani.
Huko kwenu kifo kina protocol kumbe!
 
Kwa hili corona ilitufanyia jema watz haswa kumfyeka huyu kichaa

Yaani Covidi ilimfyeka bwana yuleee ikamfyeka fyeee sahivi anachomwa huko kuzimu maskini

Mama yule hadi kanenepa maana jamaa alikua anamtesa sana

Asante Corona kwa kutusaidia watanzania kutuondolea yule mwendakuzimu yaani ilimfyeka fyeeee!!!!!!!! Sahivi wafuasi wake wametawanyika kama vitoto vya kuku vilivyokimbizwa na mwewe yaani ni raha sana

Kwa kweli asante mungu asante corona kwa kutuondolea yule kicha mwendakuzimu!

Nimeandika na sifuti!!
 
Images for BENSAANANE​

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

Image result for BENSAANANE PICTURE

View all
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom