TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
πŸ”ŠπŸ”Š exactly
 
Haya mambo huwa ni rotarion leo kicheko kesho kilio, wengi hawajui haya maisha ni mzunguko.
 
Afadhali yeye alipata nafasi ya kutubu..wewe utakufa kifo cha gahfla na hutapata mda wa kutubu..nautenda kwenyenmoto wa milele

 
acha mikwara, tutakutia adabu nasisi, acha kumchafua Rais mbuzi wewe
Huyu msenge..e alichoandika unamtetea kwa lipi? Hata wewe utatafutwa huwezi ikimbia teknolojia hata kama unatumia ID fake, usione una uhuru wa kuandika ndio utumie uhuru huo kutakana viongozi wa taifa. Hizi fake ID zisikupe jeuri
 
Kuna jina la Rais yoyote amelitaja kwenye huo Uzi wake!?
Uhuru wa kutoa maoni uliyopewa jaribu kuutumia kujenga hoja na si kutukana watu hovyo huku mtandaoni, unapata faida ipi pindi unapotukana?
 
Kumbe unamshukuru mungu, sio Mungu hapo sawa. JPM mtu wa Mungu aliyehubiri habari za Mungu dunia nzima ikasikia hakika alikua mtu wa Mungu.
 
Badogo zimwi lake linakujiaga tu!!
 
😁😁😁

Kuna raia wana hasira sana aisee
 
Kimsboy tupe Updates za wataliban kule Afghanistan
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…