Kwani wewe utaishi milele? Kwani kifo hakijawahi kufyeka ndugu zako? Kifo hakijaanzia chato, wachaga mnavyofurahia kifo cha magufuli, mind you kila mtu atafunika kaburi yake.
Kwani kifo kina huruma basi? Haijalishi alisababishiwa au ni mpango wa Mungu sisi tunashukuru maana kila mtu ataonja mauti.
Leo unacheka sisi tunalia ipo siku na wewe utakuwa ukilia na kusaga meno nasi kinafiki tutakuwa tukijisemea mmmh kwani nao wanaonja utamu wa kaburi yetu macho hii siku ipo haijarishi itafika lini.
Jpm wewe endelea kupumzika kwa amani.