TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

Status
Not open for further replies.
Watanzania wenzangu poleni sana Kwa kufiwa na Rais huko Bongo !mwaka 2021 March 19 (John magufuli)

Salamu za rambi rambi ziwafikie aliyekuwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu kasimu Majaliwa
Na Mama Janeth Magufuli

Kyaibumba:
Tunamshukuru Mungu kwa kuliokoa taifa, naam ataendelea kuliokoa tena.
 
Watanzania wenzangu poleni sana Kwa kufiwa na Rais huko Bongo !mwaka 2021 March 19 (John magufuli)

Salamu za rambi rambi ziwafikie aliyekuwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu kasimu Majaliwa
Na Mama Janeth Magufuli

Kyaibumba:
Tusha msahau usitukumbushe yaliyo pita.
 
Watanzania wenzangu poleni sana Kwa kufiwa na Rais huko Bongo !mwaka 2021 March 19 (John magufuli)

Salamu za rambi rambi ziwafikie aliyekuwa Makamu wa Rais mama Samia Suluhu Hassan
Waziri Mkuu kasimu Majaliwa
Na Mama Janeth Magufuli

Kyaibumba:
Huu ujumbe wako usikute unamaanisha Mama Samia kutoa Mzee Mwinyi kabisa. Tuombe Mungu isiwe hivyo maana angalau hiyo tofauti ya Mama Samia na Mzee Mwinyi inaweka hela mifukoni mwa sisi wenye uwezo.
 
Ni id gani ilikua inasema ipo nje ya nchi? Ikaja shtukiwa ipo hapo Ntyuka Dodoma
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…